Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #21
Kumbe ndio maanaaliishia form 2 alitoroka home kwao kibaha.."" kaka yangu alikuwaga anatoka na mtoto wa Shangazi yake "" so namjua vyema tu huyo " kahaba""
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndio maanaaliishia form 2 alitoroka home kwao kibaha.."" kaka yangu alikuwaga anatoka na mtoto wa Shangazi yake "" so namjua vyema tu huyo " kahaba""
shiiii sasa wewe ulidhani kuwa ana elimu ya kiwango gani zaidi ya hiyo """!?Kumbe ndio maana
Usililie uzuri Lilia bahatiIla zungu wa hamo mbaya jamanii
sawa ...lakini tabia zao zina sadifu kile ambacho nimekisema...hata mimi kama Nina mpenzi zaidi ya mmoja na stahiki kuitwa Malaya "" maana itakuwa ndio njia ambayo nimeichagua atiSio poa mkuu..maneno makali hayo
Nimefunga ndoa na wewe leo rasmi😀😀😀😀😀😀😀😀Yule kashindikana muda mrefu sana na mapengo yake
Harmo ana dyu dyu nchi 7...hatari sanaAlivyo cha Pombe utashangaa kaandika hivyo akiwa amekunywa.
Halafu ninachokiona bado anampenda harmo....ajaribu kuendelea na maisha yake... mbona kapita kwa wengi ila kwa harmo ndiyo imekua shida.
Kweli kabisaUsililie uzuri Lilia bahati
Baba swaleheAliishia frm one huyu chamaz tena mi ndo nlimtoa bikei
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Nambiye mamii upo jamaniiBaba swalehe
@Ms Lincolin alisema kamaliza form six [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shiiii sasa wewe ulidhani kuwa ana elimu ya kiwango gani zaidi ya hiyo """!?
Waapi?alifukuzwa sekondari akaenda kudanga Arusha@Ms Lincolin alisema kamaliza form six [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio sekondari sema form 2. Ukisema sekondari mtu anaweza akajua walau form fourWaapi?alifukuzwa sekondari akaenda kudanga Arusha
Mahabaaaa bibi mahabaaa!!!Kanidisappoint dada angu. Sasa drama za kazi gani? Kwa bwana yupi sasa yarab?
Mahana gani bwana. Mi ndo maana maskini ila bwana kama harmo sitaki hata aje na hela.Mahabaaaa bibi mahabaaa!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] loh!hata necta haimjuiSio sekondari sema form 2. Ukisema sekondari mtu anaweza akajua walau form four
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mahaba jamani huwezi jua!Mahana gani bwana. Mi ndo maana maskini ila bwana kama harmo sitaki hata aje na hela.
Necta hawana taarifa zake. Nampenda ila leo kanichefua sana. Anakua kama sio mchaga bwana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] loh!hata necta haimjui