Wolper jamani

Wolper jamani

Hakuna cha kulia fatilia page yake akiandika vizuri kakopi sehemu kwa kizungu

Umeona James anavyowaumbua wanaume ananifurahishaaa
Screenshot_2018-05-09-22-22-35.jpg
 
Huyu dada atakuwa
(A)darasa la "ine bee"
(B)Standard four
(C)form 4 failure
(D)A&B are correct
(E)Only D
(F)Non of the above
 
Celebrity wengi tu wa kibongo wako hivyo, ni aibu kwakweli. Wangekuwa na hela wangeajiri mtu wa kuwaandikia kama kama afanyavyo Floyd Mayweather
 
Back
Top Bottom