Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #81
Hakuna cha kulia fatilia page yake akiandika vizuri kakopi sehemu kwa kizunguTrue
Umeona James anavyowaumbua wanaume ananifurahishaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha kulia fatilia page yake akiandika vizuri kakopi sehemu kwa kizunguTrue
sawa "" binamuBasi mi nimekuunga mkono hapo.
hahà aaAna mdomo kama shavi za K
Form six pale dablyu sii bi.hata huyo mwanaume wanaemgombania..sijui hata kama form 2 alifika
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu James akili hana jamani loooh!na hao mabwana zake hawakomagi eti?Hakuna cha kulia fatilia page yake akiandika vizuri kakopi sehemu kwa kizungu
Umeona James anavyowaumbua wanaume ananifurahishaaaView attachment 771797
Hivi Rihanna kaishia form ngapi?Bongo movie wengi wao ni form four failure au wameishia form2
HaahahahahahahahHivi Rihanna kaishia form ngapi?
Cr7,messi na Jay z wanadegree ngapi?
Usifananishe kifo na usingizi!!!!Hivi Rihanna kaishia form ngapi?
Cr7,messi na Jay z wanadegree ngapi?
Ana degree 2@Ms Lincolin alisema kamaliza form six [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyataka mwenyewe kumwongelea X wala kumtolea comment.Angelikwepa swali.Kanidisappoint dada angu. Sasa drama za kazi gani? Kwa bwana yupi sasa yarab?
Anasema Pengo aling'oa jino kusudi ili amfurahishe 'mupenzi'!Namshauri akamuone daktari wa meno
[emoji1] [emoji1] [emoji1] unazaa ili uolewe?!!!Anasema Pengo aling'oa jino kusudi ili amfurahishe 'mupenzi'!