Wolper jamani

Wolper jamani

Sio poa mkuu..maneno makali hayo
sawa ...lakini tabia zao zina sadifu kile ambacho nimekisema...hata mimi kama Nina mpenzi zaidi ya mmoja na stahiki kuitwa Malaya "" maana itakuwa ndio njia ambayo nimeichagua ati
 
Alivyo cha Pombe utashangaa kaandika hivyo akiwa amekunywa.

Halafu ninachokiona bado anampenda harmo....ajaribu kuendelea na maisha yake... mbona kapita kwa wengi ila kwa harmo ndiyo imekua shida.
Harmo ana dyu dyu nchi 7...hatari sana
 
Back
Top Bottom