Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Ila zungu wa hamo mbaya jamaniiAlivyo cha Pombe utashangaa kaandika hivyo akiwa amekunywa.
Halafu ninachokiona bado anampenda harmo....ajaribu kuendelea na maisha yake... mbona kapita kwa wengi ila kwa harmo ndiyo imekua shida.
Nawe unatumia kifaa gani kuandikaKuna harufu naisikia hapa ila kwa kiswahili siwezikuielezea Mama Sabrina....kny kiingereza kuna written English na spoken English.
Ahhahaahhaah nitafatiliaBora huyo ungeona anavyo andika steve nyerere unge zimia...hahaha
Unataka nini huko wewe mme wangu anapasoma usiniletee mabalaaaNifungulie pm basi
"Hakunawakumchekamwenzake keyboard"Nawe unatumia kifaa gani kuandika
ππππππππYule kashindikana muda mrefu sana na mapengo yakeBora huyo ungeona anavyo andika steve nyerere unge zimia...hahaha
Sio poa mkuu..maneno makali hayoaliishia form 2 alitoroka home kwao kibaha.."" kaka yangu alikuwaga anatoka na mtoto wa Shangazi yake "" so namjua vyema tu huyo " kahaba""
Mme mwenza?Unataka nini huko wewe mme wangu anapasoma usiniletee mabalaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ππππππππYule kashindikana muda mrefu sana na mapengo yake
Ahhahaahhahaha"Hakunawakumchekamwenzake keyboard"
Hana mme mwenza huyoMme mwenza?