Wolper kaamua kuolewa ili kutukomesha wambea

Hawaanalii sura wanangalia mashine
 
Tunaomba wasibarikiwe mtoto wa kike na akiwa wakike afanane na mama yake mtt akifanana na ili jambazi ni hatari kwa kizazi kijacho
 
Jamani wolper kitu gani, dada kajala ni mzuli sana yaani mie huwa napenda kumwagilia anapotangaza washindi wa biko au wenzangu mnaonaje?
 
Some things in life are to let pass by..
 
Mapenzi ni ya wawili,kama wao wamekubaliana hakuna tatizo.
 
Wewe si una chaguo la moyo wako?
 
Ila wolper angeuchuna tu mpaka ndoa maana yasijemrudia ha mkongo tena.

Mwisho wa siku kila mtu na chaguzi zake
 
Ila wolper angeuchuna tu mpaka ndoa maana yasijemrudia ha mkongo tena.

Mwisho wa siku kila mtu na chaguzi zake
Angekuja rusha picha washafunga ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…