Wolper na Hamornize watibuana tena

Wolper na Hamornize watibuana tena

Uzuri wa hemedy hapana aisee,,mfano kuna yule wa mbeya mrefu mweupe huwa aliimbaga rizone yule kaka kakamilika sijui pale chini aisee pakoje,, izzo b nilimkuta hotel flan hivi kasimama mi nikapita huku najiuliza huyu kaka nishawah kumuona wapi ilibidi nigeuke tena ,,nikaenda zangu ,,baadae narudi tena pale hoteli nataka nikalale sasa nikaenda omba funguo maana room nilichukua siku hiyo hiyo nilikua na dada zangu wawili tulilala pale
Si nikaambiwa nenda room flan ndio yako umebadilishiwa room ipo wazi,,hee mara naenda fungua mlango haufunguki mara paap izzo akafungua mlango halaf yupo kifua wazi nilipatwa na ububu ghafla (zile lips,macho,mrefu ,mwili wa mazoezi,,)tukabaki tumegandiana macho mpaka sekunde zikapita ndio nikamuambia hapa room kwangu,nae akasema mbona nami wamenipa hiki hiki
Wewe maserati angenivuta mle ndani sijuii,,nikamuambia wewe ni mzuri asee nae akanijibu hata wewe karibu ndani,,nikamuambia asante,,
Nikarudi tena ndio nikapewa room nyingine loo mpaka jasho nilipatwa[emoji23][emoji23][emoji23] anavutia kweli aisee,usiku nililala namuona kile kifua[emoji41][emoji41][emoji23][emoji23]
Hujamalzia stori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia pic zake zote akipiga lazima ageuze uso ,ana sura kama michael Jackson alivyoanza haribika,,akitazama mbele ya kamera lazima awe na miwani mchunguze halaf ka lips sio org kale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uzuri wa hemedy hapana aisee,,mfano kuna yule wa mbeya mrefu mweupe huwa aliimbaga rizone yule kaka kakamilika sijui pale chini aisee pakoje,, izzo b nilimkuta hotel flan hivi kasimama mi nikapita huku najiuliza huyu kaka nishawah kumuona wapi ilibidi nigeuke tena ,,nikaenda zangu ,,baadae narudi tena pale hoteli nataka nikalale sasa nikaenda omba funguo maana room nilichukua siku hiyo hiyo nilikua na dada zangu wawili tulilala pale
Si nikaambiwa nenda room flan ndio yako umebadilishiwa room ipo wazi,,hee mara naenda fungua mlango haufunguki mara paap izzo akafungua mlango halaf yupo kifua wazi nilipatwa na ububu ghafla (zile lips,macho,mrefu ,mwili wa mazoezi,,)tukabaki tumegandiana macho mpaka sekunde zikapita ndio nikamuambia hapa room kwangu,nae akasema mbona nami wamenipa hiki hiki
Wewe maserati angenivuta mle ndani sijuii,,nikamuambia wewe ni mzuri asee nae akanijibu hata wewe karibu ndani,,nikamuambia asante,,
Nikarudi tena ndio nikapewa room nyingine loo mpaka jasho nilipatwa[emoji23][emoji23][emoji23] anavutia kweli aisee,usiku nililala namuona kile kifua[emoji41][emoji41][emoji23][emoji23]
Ningekaribia tu huko uliko karibishwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio hivo. Ila mi sioni uzUri wa Huyo brown aisee.
Watanashati kina Izzo,kina Quick racka mpaka unadata....harmonize sio mbaya aiseee,muombe msamaha. Labda zamani when he was broke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbaya si hamorapa.
Aisee namfeel Izzo B....ulipata fursa aisee lakini sitaki kuamini alikuwa mwenyewe huko ndani alikokukaribisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duh wamawake mnajua kupamba. Yaan ndo hzo sfa nngepewa mm afu ndo nazsoma hak y Mungu mikono ingetetemeka na sim ingeanguka afu ningesmile kdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekaribia tu huko uliko karibishwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio hivo. Ila mi sioni uzUri wa Huyo brown aisee.
Watanashati kina Izzo,kina Quick racka mpaka unadata....harmonize sio mbaya aiseee,muombe msamaha. Labda zamani when he was broke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbaya si hamorapa.
Aisee namfeel Izzo B....ulipata fursa aisee lakini sitaki kuamini alikuwa mwenyewe huko ndani alikokukaribisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah
Hakuwa na mtu kabisa ndio maana alinikaribisha ndani
Sikutaka bana huwezi jua niliepusha mengii
 
Back
Top Bottom