K yake sijui INA hali gani......
Inaomba poo..
Lakini wapi.
Mwemye nayo anaiambia HAPA KAZI TU
Mbona nimewaona wote usiku huu kwenye uzinduzi wa movie hapa mlimani cityHabari za kunyapia nyapia Wolper na yule serengeti boy wake sasa wameshagawana hamsini hamsini baada ya kiben ten kupost picha ya mahaba akiwa na mwanamke mwingine.
View attachment 601791
Hizi ni baadhi ya picha wakiwa bado kwenye penzi motomoto.
View attachment 601794 View attachment 601795
haha naomba nisave hii commentHivi ni lazima kutangaza mahusiano? Huku uswazi tunaona na kuachana daily kimya kimya hata mke wako hajui!
Hii nyimbo inaitwaje nimeikumbuka na kaimba nani..???nimekumbuka mbali sanaWewe si wakutania wengi wanapongezana, wanavyokugombania kama mpira wa kona
Umegeuka gunia kubeba kila aina,
Ama kweli mlezi wako alokulea Kala hasara,
Ama kweli mzito wako alokulea Kala hasara,
Ama kweli mwalimu wako alokufundisha Kala hasara,
Ama kweli na mume wako atokuoa Kala hasara,
Mdogo wakimo una mambo wewe, una mambo,
Nimeshaamini Chochote kizur hakikosi kasoro,
Mama mkatae umoja Kala hasara huyo.
Kitega uchumi kumbe naweweseka humo,
Japo hauvumi kumbe nawe humo,
Uko mitaani umepewa Jina waitwa mama huruma wee,
Sikutegemea Wala sikudhani kwamba una mambo,
Wala ufanani wavyako vitendo una mambo wewe.
Kila uonacho wakitolea macho wataka kukichukua,
Japo siochako wakitolea macho wataka kukichukua,
Mekusaidia kidogo menikumbushaa mbaliiiii😛
Huwa wanataka kupigana bakoraHivi ni lazima kutangaza mahusiano? Huku uswazi tunaona na kuachana daily kimya kimya hata mke wako hajui!
Mi nashangaa mchaga gani anakuwa na mambo ya ajabu.Huyu Dada akaoge maji ya baharini haki ya nani
Lkn pia ndo hasara za kufanya maamuzi ukiwa na hasira baada ya kutemwa na Harmonize angepiga kimya kwa muda lkn akakurupuka na haka kajamaa
Ss watu ndo wataamini kama nanihii yake yatoa sijui nn
Ushaur wangu aachane na viserengeti atafute mtu wa heshima mbona ni mzuri huyu mchaga?
Mie ananiudhi
[emoji15] [emoji15] mhh! harufu...!Dogo kashindwa kuvumilia harufu kajikaza sana lakin imeshindikana [emoji23][emoji23][emoji23]
Atakuwa mchaga feki huyoMi nashangaa mchaga gani anakuwa na mambo ya ajabu.
Hahahahaahahaha *****Dogo kashindwa kuvumilia harufu kajikaza sana lakin imeshindikana [emoji23][emoji23][emoji23]
asa kiki, mmwingine apate jina na yeye achafuliwe jina wap na wap,Ukweli ambao hata wao wasingependa nyie muujue. Hakuna cha mahusiano hapo
Kumbuka ya Wema na Calisah
Huyo wa heshma atampataje kama hajieshimu? Hawa Dada zetu bana bora nimeoa mapemaHuyu Dada akaoge maji ya baharini haki ya nani
Lkn pia ndo hasara za kufanya maamuzi ukiwa na hasira baada ya kutemwa na Harmonize angepiga kimya kwa muda lkn akakurupuka na haka kajamaa
Ss watu ndo wataamini kama nanihii yake yatoa sijui nn
Ushaur wangu aachane na viserengeti atafute mtu wa heshima mbona ni mzuri huyu mchaga?
Mie ananiudhi
Dogo kashindwa kuvumilia harufu kajikaza sana lakin imeshindikana [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaaa umejua kunikosha nafsi........huu mwimbo si unafaa lakin km dedication ama mekosea