Wolper na Kiben ten wake wameachana!!!

Wolper na Kiben ten wake wameachana!!!

Wewe si wakutania wengi wanapongezana, wanavyokugombania kama mpira wa kona
Umegeuka gunia kubeba kila aina,
Ama kweli mlezi wako alokulea Kala hasara,
Ama kweli mzito wako alokulea Kala hasara,
Ama kweli mwalimu wako alokufundisha Kala hasara,
Ama kweli na mume wako atokuoa Kala hasara,

Mdogo wakimo una mambo wewe, una mambo,
Nimeshaamini Chochote kizur hakikosi kasoro,
Mama mkatae umoja Kala hasara huyo.

Kitega uchumi kumbe naweweseka humo,
Japo hauvumi kumbe nawe humo,
Uko mitaani umepewa Jina waitwa mama huruma wee,
Sikutegemea Wala sikudhani kwamba una mambo,
Wala ufanani wavyako vitendo una mambo wewe.

Kila uonacho wakitolea macho wataka kukichukua,
Japo siochako wakitolea macho wataka kukichukua,

Mekusaidia kidogo menikumbushaa mbaliiiii😛
Hii nyimbo inaitwaje nimeikumbuka na kaimba nani..???nimekumbuka mbali sana
 
Huyu Dada akaoge maji ya baharini haki ya nani
Lkn pia ndo hasara za kufanya maamuzi ukiwa na hasira baada ya kutemwa na Harmonize angepiga kimya kwa muda lkn akakurupuka na haka kajamaa
Ss watu ndo wataamini kama nanihii yake yatoa sijui nn
Ushaur wangu aachane na viserengeti atafute mtu wa heshima mbona ni mzuri huyu mchaga?
Mie ananiudhi
Mi nashangaa mchaga gani anakuwa na mambo ya ajabu.
 
Huyu ni Mama la Kujifunzia watoto, lakini bado ndogo akikongoloka ataacha, naona macho yanaanza kuwa na hanging valey tayari miaka mitatu mbele re-sura linatelemka pwaa, hapo inabidi akaooe yeye
 
S
Ukweli ambao hata wao wasingependa nyie muujue. Hakuna cha mahusiano hapo
Kumbuka ya Wema na Calisah
asa kiki, mmwingine apate jina na yeye achafuliwe jina wap na wap,
Jina langu lichafuliwe hivyo kisa kiki hapana mazee
 
Huyu Dada akaoge maji ya baharini haki ya nani
Lkn pia ndo hasara za kufanya maamuzi ukiwa na hasira baada ya kutemwa na Harmonize angepiga kimya kwa muda lkn akakurupuka na haka kajamaa
Ss watu ndo wataamini kama nanihii yake yatoa sijui nn
Ushaur wangu aachane na viserengeti atafute mtu wa heshima mbona ni mzuri huyu mchaga?
Mie ananiudhi
Huyo wa heshma atampataje kama hajieshimu? Hawa Dada zetu bana bora nimeoa mapema
 
Back
Top Bottom