Wolper na Kiben ten wake wameachana!!!

Wolper na Kiben ten wake wameachana!!!

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Habari za kunyapia nyapia Wolper na yule serengeti boy wake sasa wameshagawana hamsini hamsini baada ya kiben ten kupost picha ya mahaba akiwa na mwanamke mwingine.
IMG_20171004_115028_901.jpg

Hizi ni baadhi ya picha wakiwa bado kwenye penzi motomoto.

IMG_20171004_115049_886.jpg
IMG_20171004_115038_984.jpg
 
Huyu Dada akaoge maji ya baharini haki ya nani
Lkn pia ndo hasara za kufanya maamuzi ukiwa na hasira baada ya kutemwa na Harmonize angepiga kimya kwa muda lkn akakurupuka na haka kajamaa
Ss watu ndo wataamini kama nanihii yake yatoa sijui nn
Ushaur wangu aachane na viserengeti atafute mtu wa heshima mbona ni mzuri huyu mchaga?
Mie ananiudhi
 
Huyu Dada akaoge maji ya baharini haki ya nani
Lkn pia ndo hasara za kufanya maamuzik ukiwa na hasira baada ya kutemwa na Harmonize angepiga kimya kwa muda lkn akakurupuka na haka kajamaa
Ss watu ndo wataakin kama nanihii yake yatoa sijui nn
Ushaur wangu aachane na viserengeti atafute mtu wa heshima mbona ni mzuri huyu mchaga?
Mie ananiudhi nyambafu zake
ukimwi ukowapi usimpitie amezidi
 
tatizo la huyu ni bandika bandua.....saa ngapi atapata muda wa kuchunguza kama anaingia kwenye mikono salama au la!!! leo akiachana na 'kitoto' hiki kesho ana kingine
 
Huyu Dada akaoge maji ya baharini haki ya nani
Lkn pia ndo hasara za kufanya maamuzik ukiwa na hasira baada ya kutemwa na Harmonize angepiga kimya kwa muda lkn akakurupuka na haka kajamaa
Ss watu ndo wataakin kama nanihii yake yatoa sijui nn
Ushaur wangu aachane na viserengeti atafute mtu wa heshima mbona ni mzuri huyu mchaga?
Mie ananiudhi nyambafu zake
Hahahahaaaaaa na Kwel
 
Back
Top Bottom