Wolper na Mkongo wa US$

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Jamani wambea wenzangu, ninasikia habari ya mjini ni kuwa kuna bwana Mcongo anampunga balaa, anamwaga madolali, sasa bwana alimtumika Steve Nyerere kumpata Wema. Ninavyosikia share ya Steve ilikuwa $500, akafikisha ujumbe na mambo yaliandaliwa date iwe ile siku Wema alikuwa na show akachukua ukumbi wa King Solomon. Mzee alishukua hoteli moja mjini na bidada aliambiwa aende.

Idris alinusa mchezo mchafu, kwani bidada alitaka akavalie nguo kwenye hiyo hoteli, Idriss alimwambia bibie leo tunakwenda wote, wamefika hotelini ilibidi Wema achukue chumba cha pili na danga likalipia, sasa wakati wanatoka Idriss aliona sivyo ndivyo danga likiwa linasubiri kwenye corridor Idriss alimpiga denda bibie ndio hapo negative ilipoungua, akadai "we Idriss acha uchokozi ndio nini". Danga kuona vile akamwaga manyanga na kurudi nyumbani Idriss aliona isiwe shida. Ndio sababu ya Miss Tanzania 2006 kuugua ghafla juzi.

Danga liliishia kujiopolea Wolper, nae kumbe alikuwa amejiegesha tu kwa dogo. Sasa miss anaumeia madolali yanakwenda kwa Wolper.
 
Yes
 
Asante shoga,sio kwa ubuyu huu.
Nipo naumung'unya taratibu huku nikizipanga picha na kuunga dots.
Ila mapenzi haya ya mjini noma...
Kuna baby na danga la kukuweka mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangia nimeupata mikono ilikuwa inawasha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…