Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kina dada mtuonee huruma hata kidogoNdio kukomaa kwa mtoto wa kiume.
Nae ana nyota ya Kinshasa! Si alisema mkongo alimfilisi kamwacha matako wazi yaan hana nyumba wala gari analala hotelini! Mpaka Harmonize alipompa hifadhi kama umoja wa mataifa unavyohifadhi wakimbizi! Au ni mwingine mcongo?
mhhh bepar gan huyo tenaNgoja nijifunze umbea
Mbona nasikia eti aliugua kwakuwa bepari upara kawa mkalia kiti cha chama?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]mhhh bepar gan huyo tena