Wolper na Mkongo wa US$

Wolper na Mkongo wa US$

Yaani nikitaka kucheka lazima nije kusoma hili jukwaa..........long live JF!
 
Duh, kwa hiyo Harmonize itambidi aje na 'matatizo' pati two.
 
Pamoja ndio wanafanya kazi kubenu mauno. Inabidi walipe kodi sasa.
 
Maskini wema anatamani idriss angekuwa na pesa chafu maana moyo wke wote unawaza wapi atapata Pesa nyingi
 
Nae ana nyota ya Kinshasa! Si alisema mkongo alimfilisi kamwacha matako wazi yaan hana nyumba wala gari analala hotelini! Mpaka Harmonize alipompa hifadhi kama umoja wa mataifa unavyohifadhi wakimbizi! Au ni mwingine mcongo?

Hahahahaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom