Wolper na Mkongo wa US$

Wolper na Mkongo wa US$

Pesa kwa kidogo za papaa Bisima zinawachanganya wabongo movie aseeee kweli dolla bongo ni ufalme.
 
dah madem wa bongo movie mbna magonjwa hayafiki tu!!? mana hii michezo wanacheza tangu kitambo.
 
Mmmh ungejua huyo mkongo katua nahis hiyo nafasi ungechukua wewe maana naona unekuuuuuuuma sana
 
Jamani wambea wenzangu, ninsikia habari ya mjini ni kuwa kuna bwana Mcongo anampunga balaa, anamwaga madolali, sasa bwana alimtumika Steve Nyerere kumpata Wema. Ninavyosikia share ya Steve ilikuwa $500, akafikisha ujumbe na mambo yaliandaliwa date iwe ile siku Wema alikuwa na show akachukua ukumbi wa King Solomon. Mzee alishukua hoteli moja mjini na bidada aliambiwa aende.

Idris alinusa mchezo mchafu, kwani bidada alitaka akavalie nguo kwenye hiyo hoteli, Idriss alimwambia bibie leo tunakwenda wote, wamefika hotelini ilibidi Wema achukue chumba cha pili na danga likalipia, sasa wakati wanatoka Idriss aliona sivyo ndivyo danga likiwa linasubiri kwenye corridor Idriss alimpiga denda bibie ndio hapo negative ilipoungua, akadai "we Idriss acha uchokozi ndio nini". Danga kuona vile akamwaga manyanga na kurudi nyumbani Idriss aliona isiwe shida. Ndio sababu ya Miss Tanzania 2006 kuugua ghafla juzi.

Danga liliishia kujiopolea Wolper, nae kumbe alikuwa amejiegesha tu kwa dogo. Sasa miss anaumeia madolali yanakwenda kwa Wolper.
1470113324945.jpg
 
Prince Bakuva meets princess Bongo
Prince marries princess
And they lived happily ever after.
Harmonize harmonizies tell me one thing Wolper how am I supposed to live without you?
 
Aisee wapo kwa maslahi hawa maisha ya insta yanawacost
 
Kumbe ile kuchuma matembele na kupika kwa mama ilikuwa acting.
 
Hii ndio kombinenga ya watu wazima ndo mpango.. ile ya mwanzo ililenga ku-harmonize ma pain ya usaliti. Ile ni paracetamol. Hii ndio dawa mwarobaini wenyewe

Nalog off
 
Back
Top Bottom