Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BwererereeeMTU mzima kulala na vijana wadogo unategemea nini???.....laana inatembea, yaani mda wote huo wamevuana michupi alafu anasema hamuongelei....huhuhuhuhu!... Acha vijana wawashikishe adabu maana mnapenda vya bureer!
DuhKuna mdada alikua yeye ana harufu flani ivi kwenye kwappa yani hata asugui ilo kwapa na muarobaini bado itatoka. Natural ilikua si pleasant. Saa zote alikua anajijaza pafyuum tuu
Mbona washangaa dada
Mapenzi kati ya mastaa na mastaa hua inakua na mwisho mbaya hasa kwa wabongo.
wengi wanaishi kikiki na kupendana kikiki. Wanasahau mapenzi ni baina ya watu wawili na kutunziana siri. Tazama yalomkuta Wolper
Celebrities forum...... Umepotea chochoroPambana na hali yako
Yako yanakushinda kazi kukazania ya watu
Kubwa jinga wewe
Niliwahi kusikia kua alikua nachapana masumbwi na Salama Jabir. Labda wataendeleaHivi ni kweli ni harufu au ni sababu ya kuachwa ilifikia sema kwa age yake atasumbuka kidogo kupata wa kumuweka ndani hasa kama ataendelea ku mingle na vijana wadogo
Ujue ustaa bongo haulipi kiasi hicho na kuna wakati akili kubwa inapowaijia wanajikuta mda sio rafiki inapaswa wafungue club na kuitumia kuelimisha vijana wadogo namna ya kukabili ujanaNiliwahi kusikia kua alikua nachapana masumbwi na Salama Jabir. Labda wataendelea
ShobooCelebrities forum...... Umepotea chochoro
Leaving kweliKweli, hakuna kizuri kisicho na kasoro.
Mungu tusaidie.
Hebu toa mawazo hapa jukwaa la celebrities tu discuss nini, unajuaje mi sio celebrity?Shoboo
Pambana na wewe uwe celebrity
Alafu mi naisi we celeb maana natamani kukuona nikuimbie namba 1 fanHebu toa mawazo hapa jukwaa la celebrities tu discuss nini, unajuaje mi sio celebrity?