Wolper na msongo wa mawazo hii imekaaje

Wolper na msongo wa mawazo hii imekaaje

MTU mzima kulala na vijana wadogo unategemea nini???.....laana inatembea, yaani mda wote huo wamevuana michupi alafu anasema hamuongelei....huhuhuhuhu!... Acha vijana wawashikishe adabu maana mnapenda vya bureer!
Bwererereee
 
Mtu anazeeka hawatakagi kubeba mimba nan anataka kuzeeka hana mtoto! Na wengi hawazai maana chomoa chomoa ishaua vizazi
 
Mapenzi kati ya mastaa na mastaa hua inakua na mwisho mbaya hasa kwa wabongo.
wengi wanaishi kikiki na kupendana kikiki. Wanasahau mapenzi ni baina ya watu wawili na kutunziana siri. Tazama yalomkuta Wolper

Pambana na hali yako

Yako yanakushinda kazi kukazania ya watu
 
Hivi ni kweli ni harufu au ni sababu ya kuachwa ilifikia sema kwa age yake atasumbuka kidogo kupata wa kumuweka ndani hasa kama ataendelea ku mingle na vijana wadogo
 
Hivi ni kweli ni harufu au ni sababu ya kuachwa ilifikia sema kwa age yake atasumbuka kidogo kupata wa kumuweka ndani hasa kama ataendelea ku mingle na vijana wadogo
Niliwahi kusikia kua alikua nachapana masumbwi na Salama Jabir. Labda wataendelea
 
Niliwahi kusikia kua alikua nachapana masumbwi na Salama Jabir. Labda wataendelea
Ujue ustaa bongo haulipi kiasi hicho na kuna wakati akili kubwa inapowaijia wanajikuta mda sio rafiki inapaswa wafungue club na kuitumia kuelimisha vijana wadogo namna ya kukabili ujana
 
Hivi ni kweli huyu mrembo ana kaharufu...

Mbona tiba yake easy sana...

Hayuko serious.
 
Back
Top Bottom