BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Kwani wameshakuchua?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Ayaaa ! Nilikua nataka kuleta barua aiseee[emoji15][emoji15][emoji124]Heheheheh kumekuchaaaaah, watu na ujauzito wao uwiiiiiih.
Ila huyo mwanaume nimemuelewa kiukweli, najuta kuolewa mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Heheheheh kumekuchaaaaah, watu na ujauzito wao uwiiiiiih.
Ila huyo mwanaume nimemuelewa kiukweli, najuta kuolewa mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Yaan nimtunze mwanaume? Mie huyu? Hapana kwa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukitaka kizuri gharamika mama, rich anatunzwa yule.
Vipi wee babuuh? Mbona umeduwaaah lol[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Nimechukuliwa ndiyo, ila sio kivileeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani wameshakuchua?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Ayaaa ! Nilikua nataka kuleta barua aiseee[emoji15][emoji15][emoji124]
KAMA PICHA ZILIVYO KOSA UHALISIA, MAISHA YAO YAMEKOSA UHALISIA HIVYO HIVYONajiulizaga mara nyingi sana,Hivi kwani ni lazima kuweka maisha yako halishi kwenye Haya masosho network.😏
Sasa hapo mbaya wake akiamua kumuangamiza si na mtoto anakosa.jamani sijui Kwanini watu wanashindwa kutofautisha maisha ya mitandaoni na halisi🥺
Kumlazimisha mtu ajue kutofautisha maisha na mitandao ya kijamii haiwezekani.badala afanye mambo yake kwa siri huko..hata kujifungua bado anaanza kuposti hicho kibendi huko duniani..mtu mwenyewe kahangaika kupata ujauzito bado anakazi kupost tena😔..binadamu anaekupenda humjui,anaekuchukia humjui wote wako kwenye kapu moja
Pongezi kwa kuwa mjamzito.😊Mungu amtangulie ajifungue salama.
Education is better than money.Najiulizaga mara nyingi sana,Hivi kwani ni lazima kuweka maisha yako halishi kwenye Haya masosho network.😏
Sasa hapo mbaya wake akiamua kumuangamiza si na mtoto anakosa.jamani sijui Kwanini watu wanashindwa kutofautisha maisha ya mitandaoni na halisi🥺
Kumlazimisha mtu ajue kutofautisha maisha na mitandao ya kijamii haiwezekani.badala afanye mambo yake kwa siri huko..hata kujifungua bado anaanza kuposti hicho kibendi huko duniani..mtu mwenyewe kahangaika kupata ujauzito bado anakazi kupost tena😔..binadamu anaekupenda humjui,anaekuchukia humjui wote wako kwenye kapu moja
Pongezi kwa kuwa mjamzito.😊Mungu amtangulie ajifungue salama.
Hivi yule mtoto ni wa chidi mapenzi?Sio mjamzito tayari ameshazaa dume. yule kijeba alishindwa kazi ndio maana akaenda kukodi mtoto wa chidi mapenzi atafutie kiki.
Ndio.Hivi yule mtoto ni wa chidi mapenzi?
Hivi kumbe tayari ushapigwa pingu za ma life 😎Heheheheh kumekuchaaaaah, watu na ujauzito wao uwiiiiiih.
Ila huyo mwanaume nimemuelewa kiukweli, najuta kuolewa mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hapa ndio nilikuwa napataka 😝😝😝 huenda uko chama moja na “pisi kali”Nimechukuliwa ndiyo, ila sio kivileeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ss ww utabebaje mimba au ndio mwendo wa kupekechwa tuu?!Hivi wee aunt ulipotea wapi? Mwenzio nilkua nakutafuta San, Tar 21/12 nimefunga pingu za maisha, napambana na maisha ya ndoa now.
Kupekechwa, kumemenyuliwa na kusakafiwa, nna ujauzito tayar soon naitwa mama fulan.Ss ww utabebaje mimba au ndio mwendo wa kupekechwa tuu?!
[emoji23][emoji23][emoji23] afu wee shauri yako oooh.Hapa ndio nilikuwa napataka [emoji13][emoji13][emoji13] huenda uko chama moja na “pisi kali”
Tayari bhana mie nshakuwa ndani ya kifungo cha maisha upande wa mahusiano.Hivi kumbe tayari ushapigwa pingu za ma life [emoji41]
Hahaha ila Kwaito za ukumbini bado?Tayari bhana mie nshakuwa ndani ya kifungo cha maisha upande wa mahusiano.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Tayari bhana mie nshakuwa ndani ya kifungo cha maisha upande wa mahusiano.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kweli usimtunze mwanaume mwaya ni aibuYaan nimtunze mwanaume? Mie huyu? Hapana kwa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]