Najiulizaga mara nyingi sana,Hivi kwani ni lazima kuweka maisha yako halishi kwenye Haya masosho network.😏
Sasa hapo mbaya wake akiamua kumuangamiza si na mtoto anakosa.jamani sijui Kwanini watu wanashindwa kutofautisha maisha ya mitandaoni na halisi🥺
Kumlazimisha mtu ajue kutofautisha maisha na mitandao ya kijamii haiwezekani.badala afanye mambo yake kwa siri huko..hata kujifungua bado anaanza kuposti hicho kibendi huko duniani..mtu mwenyewe kahangaika kupata ujauzito bado anakazi kupost tena😔..binadamu anaekupenda humjui,anaekuchukia humjui wote wako kwenye kapu moja
Pongezi kwa kuwa mjamzito.😊Mungu amtangulie ajifungue salama.