Wolper ni Mjamzito: Rich Mitindo aweka picha zao za "maternity photoshoot" mtandaoni

Heheheheh kumekuchaaaaah, watu na ujauzito wao uwiiiiiih.
Ila huyo mwanaume nimemuelewa kiukweli, najuta kuolewa mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwani wameshakuchua?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Ayaaa ! Nilikua nataka kuleta barua aiseee[emoji15][emoji15][emoji124]
 
Heheheheh kumekuchaaaaah, watu na ujauzito wao uwiiiiiih.
Ila huyo mwanaume nimemuelewa kiukweli, najuta kuolewa mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Najiulizaga mara nyingi sana,Hivi kwani ni lazima kuweka maisha yako halishi kwenye Haya masosho network.😏

Sasa hapo mbaya wake akiamua kumuangamiza si na mtoto anakosa.jamani sijui Kwanini watu wanashindwa kutofautisha maisha ya mitandaoni na halisi🥺

Kumlazimisha mtu ajue kutofautisha maisha na mitandao ya kijamii haiwezekani.badala afanye mambo yake kwa siri huko..hata kujifungua bado anaanza kuposti hicho kibendi huko duniani..mtu mwenyewe kahangaika kupata ujauzito bado anakazi kupost tena😔..binadamu anaekupenda humjui,anaekuchukia humjui wote wako kwenye kapu moja

Pongezi kwa kuwa mjamzito.😊Mungu amtangulie ajifungue salama.
KAMA PICHA ZILIVYO KOSA UHALISIA, MAISHA YAO YAMEKOSA UHALISIA HIVYO HIVYO
 
Najiulizaga mara nyingi sana,Hivi kwani ni lazima kuweka maisha yako halishi kwenye Haya masosho network.😏

Sasa hapo mbaya wake akiamua kumuangamiza si na mtoto anakosa.jamani sijui Kwanini watu wanashindwa kutofautisha maisha ya mitandaoni na halisi🥺

Kumlazimisha mtu ajue kutofautisha maisha na mitandao ya kijamii haiwezekani.badala afanye mambo yake kwa siri huko..hata kujifungua bado anaanza kuposti hicho kibendi huko duniani..mtu mwenyewe kahangaika kupata ujauzito bado anakazi kupost tena😔..binadamu anaekupenda humjui,anaekuchukia humjui wote wako kwenye kapu moja

Pongezi kwa kuwa mjamzito.😊Mungu amtangulie ajifungue salama.
Education is better than money.

Hii mada haijawafungua wengi
 
Dada zetu hawa hawana kitu kingine Cha kuonyesha kwenye jamii sio kazi au biashara,sio Elimu ya juu waliyofikia,au mkataba mnono wa kazi kutoka nje,wao wanaonyesha na kutangaza wakipata ka boyfriend,au wakiolewa,kupata mimba basi.
 
Heheheheh kumekuchaaaaah, watu na ujauzito wao uwiiiiiih.
Ila huyo mwanaume nimemuelewa kiukweli, najuta kuolewa mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hivi kumbe tayari ushapigwa pingu za ma life 😎
 
Nimechukuliwa ndiyo, ila sio kivileeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ndio nilikuwa napataka 😝😝😝 huenda uko chama moja na “pisi kali”
 
Back
Top Bottom