Wolper wa Congo vs wolper wa makonde

Akaa, mbona kawa bonge ivo?
Me mwanzoni nikajua ni mtu mwengine wamefanana tu.
Lol
 
Wabongo wana roho mbaya sana,hata shetani akasome. Sasa Wolper akinenepa au akikonda wewe inakuhusu nini ...............???

Si mlisema wanatafuta kiki,leo mmeona wanaendelea na wanazidi kupendana roho zinawauma ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…