Wolper wa Congo vs wolper wa makonde

Wolper wa Congo vs wolper wa makonde

Ni maisha yake na wala hayatuhusu, hivi umewahi kujifwatilia una mtu mzuri/mbaya kiasi gani. Mwacheni amechagua ujinga wake, hayo ni maisha binafsi.....
 
Hivi ana umri gani? Tangu niko MSINGI namskia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani jamani!
Wolper kaingia mjini hapa kama sikosei 2009/10.
Umaarufu kaanza kuupata 2011...
Sio mkubwa sana,labda ana 29 kwa sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani jamani!
Wolper kaingia mjini hapa kama sikosei 2009/10.
Umaarufu kaanza kuupata 2011...
Sio mkubwa sana,labda ana 29 kwa sasa.
Wewee!!! Yule bila 34 sijui....
 
Back
Top Bottom