Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake . Baada ya taarifa hizoza chini chini kuzagaa , Wolper aliibuka na kuzikanusha kama ifuatavyo: Wazazi wangu ni matajiri sana, kwa pesa gani nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo???, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu. Alingaka wolper
