Wolper: Wazazi Wangu ni Matajari Hawahitaji Msaada Wangu

Wolper: Wazazi Wangu ni Matajari Hawahitaji Msaada Wangu

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake . Baada ya taarifa hizoza chini chini kuzagaa , Wolper aliibuka na kuzikanusha kama ifuatavyo: “ Wazazi wangu ni matajiri sana, kwa pesa gani nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo???, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.” Aling’aka wolper
 
Mmh wana utajir gani? Sijawahi kuona watoto wa matajir wakaacha shule na kukimbilia bongo movie, kwanza wolper mwenyewe kasoma kayumba, shangazi yake ndo anawasitir na ki mini super market cha kule a town ila empty hao
 
hawana chochote si aseme tu ukwel kuwa wazazi wana shda mbona alikuwa anauza sabuni na kakimbia shule
 
Mmh wana utajir gani? Sijawahi kuona watoto wa matajir wakaacha shule na kukimbilia bongo movie, kwanza wolper mwenyewe kasoma kayumba, shangazi yake ndo anawasitir na ki mini super market cha kule a town ila empty hao

Hahaaa mkuu warumi unanifurahishaga hapo tu inaelekea una data base za kutosha hakuna usichokijua.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa mkuu warumi unanifurahishaga hapo tu inaelekea una data base za kutosha hakuna usichokijua.

Wakawadanganye vijijini uko na sio apa dar, ma profile yao yote tunayo apa, juzi binamu nilikuwa kijijini nikasikia watu wanapiga stori kuwa wema tajir sana ana nyumba ya kifahar na magari, nikacheka sana moyoni nikasema duh, kumbe uongo wao unabamba sana vijijini..
 
Last edited by a moderator:
Hii kali nyingine, mabongo movie wawe wanasema ukweli tu ili uwaweke huru
 
Mmh wana utajir gani? Sijawahi kuona watoto wa matajir wakaacha shule na kukimbilia bongo movie, kwanza wolper mwenyewe kasoma kayumba, shangazi yake ndo anawasitir na ki mini super market cha kule a town ila empty hao

You never know labda nae sooner or later ataibuka na Oscars kama Lupita
 
Kwani mtu akisema kwetu hatuna ndio ataonekana maskini na jamii? kama huna huna tuu,na kama ipo ipo tuu wala haitaki tochi,wanapenda sana kujionyesha kwenye magazeti nakutoa vijisent wanavyohongwa nyumba wanaishia kupanga
mara leo wamelala kwa bwana mara leo kwa shoga zao,kwakutaka makubwa....eti wazazi wangu tajiri ebu wapige picha
utuweke tuone japo wakiwa wamekaa njee ya nyumba....
 
Duh warumi.....

Shosti zako ulimbukeni tu unawasumbua, wanafikir wakisema wametoka familia za kitajir ndo itakuwaje sasa?, waheshimike au? Wafanye kazi tuone matunda ya kazi Zao apo wataheshimika , jide na marehem kanumba wametokea familia za kitajir? Wawaangalie jinsi walivyokuwa respected na hard workers, hatutak kujua etokea wapi wala wazazi wako wakoje, wakamue tu tuhesabu vya kwao
 
Mi najua hiyo ni mechanism ili kiwamaliza nguvu wachwara
watu wajue kwamba Yule anazo nikienda na vichenji vyangu simli
kumbe analiwa tu hata kwa buku ya bodaboda
 
Mi najua hiyo ni mechanism ili kiwamaliza nguvu wachwara
watu wajue kwamba Yule anazo nikienda na vichenji vyangu simli
kumbe analiwa tu hata kwa buku ya bodaboda

Kuna kipindi huyo wolper alikuwa na mtu wake anaitwa chid , jamaa alikuwa young tu ila ana pesa chafu za sembe, jamaa alikuwa anawala sana mademu coz alikuwa anawahonga sana magari, kuna siku bhna wolper kajipeleka usiku kama mida ya saa nne ivi, kumbe jamaa alikuwa ndan na machine mpya, wolper gonga sana hodi watu kimya ndan wanakula uroda, wolper c akapiga kelele afunguliwe, yaan alijidharirisha sana , jamaa alitoka na bastola akamtishia nayo wolper, jamaa kamtukana sana wolper, dah dhiki mbaya sana, watu walijaa hatari, apo apo wolper akamwagwa, wasanii nyodo kweny TV na instagram in real life hawana kitu mamburula tu..
 
Back
Top Bottom