Wolper: Wazazi Wangu ni Matajari Hawahitaji Msaada Wangu

Wolper: Wazazi Wangu ni Matajari Hawahitaji Msaada Wangu

Kuna kipindi huyo wolper alikuwa na mtu wake anaitwa chid , jamaa alikuwa young tu ila ana pesa chafu za sembe, jamaa alikuwa anawala sana mademu coz alikuwa anawahonga sana magari, kuna siku bhna wolper kajipeleka usiku kama mida ya saa nne ivi, kumbe jamaa alikuwa ndan na machine mpya, wolper gonga sana hodi watu kimya ndan wanakula uroda, wolper c akapiga kelele afunguliwe, yaan alijidharirisha sana , jamaa alitoka na bastola akamtishia nayo wolper, jamaa kamtukana sana wolper, dah dhiki mbaya sana, watu walijaa hatari, apo apo wolper akamwagwa, wasanii nyodo kweny TV na instagram in real life hawana kitu mamburula tu..
kumbe ndio maana wakiumwa hata malaria tunatangaziwa kuwachangia hela za matibabu...
 
Huyu nae tumuwache kama alivyo,mwenye nacho hajisifu,MASKINI NI YAKE NA MATEMBELE.:tape:
 
Huyo wolper wa ekenywa tulikula mtungo wazee wa umenyeni kwenye shamba la mahindi
 
[Q UOTE=duanzi;8958140]msaranga sehem gani mkuu. karibu na maghorofani?[/QUOTE]
Kwa kina wolper ni Msaranga ni karibu na kigango cha kanisa katoliki mtaa unaitwa Msaranga Msaranga karibu sana na msituni kuelekea shule ya msingi msandaka
 
Back
Top Bottom