Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwambie huyu jamaa TytaWeka Picha
Tena anyamaze kbs nko na mama yake mdogo hpa sekei arusha kachoka kbs,ntaweka picha hpa!tunamjua nje ndani!
Weka Picha
kumbe ndio maana wakiumwa hata malaria tunatangaziwa kuwachangia hela za matibabu...Kuna kipindi huyo wolper alikuwa na mtu wake anaitwa chid , jamaa alikuwa young tu ila ana pesa chafu za sembe, jamaa alikuwa anawala sana mademu coz alikuwa anawahonga sana magari, kuna siku bhna wolper kajipeleka usiku kama mida ya saa nne ivi, kumbe jamaa alikuwa ndan na machine mpya, wolper gonga sana hodi watu kimya ndan wanakula uroda, wolper c akapiga kelele afunguliwe, yaan alijidharirisha sana , jamaa alitoka na bastola akamtishia nayo wolper, jamaa kamtukana sana wolper, dah dhiki mbaya sana, watu walijaa hatari, apo apo wolper akamwagwa, wasanii nyodo kweny TV na instagram in real life hawana kitu mamburula tu..
Mbona picha ipo niliweka. Ipi unayotaka
Anataka picha yako
"bitoz nyangema anataka aitwe 2pac"
Huyo wolper wa ekenywa tulikula mtungo wazee wa umenyeni kwenye shamba la mahindi