Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Mmh wana utajir gani? Sijawahi kuona watoto wa matajir wakaacha shule na kukimbilia bongo movie, kwanza wolper mwenyewe kasoma kayumba, shangazi yake ndo anawasitir na ki mini super market cha kule a town ila empty hao
Hahaaa mkuu warumi unanifurahishaga hapo tu inaelekea una data base za kutosha hakuna usichokijua.
Atuonyeshe kwao wana utajiri ganii sio blah blah matajiri siku hiz ni wengi mno!!!!
Mmh wana utajir gani? Sijawahi kuona watoto wa matajir wakaacha shule na kukimbilia bongo movie, kwanza wolper mwenyewe kasoma kayumba, shangazi yake ndo anawasitir na ki mini super market cha kule a town ila empty hao
Duh warumi.....Eti tajir, angethubut kutoa tigo ahongwe mini Cooper?, si angechukua gari za nyumbani(sina uhakika kama hata baskel wanayo), aache ubishoo apa
Duh warumi.....
Mi najua hiyo ni mechanism ili kiwamaliza nguvu wachwaraShosti zako ulimbukeni tu unawasumbua, wanafikir wakisema wametoka familia za kitajir ndo itakuwaje sasa?, waheshimike au? Wafanye kazi tuone matunda ya kazi Zao apo wataheshimika , jide na marehem kanumba wametokea familia za kitajir? Wawaangalie jinsi walivyokuwa respected na hard workers, hatutak kujua etokea wapi wala wazazi wako wakoje, wakamue tu tuhesabu vya kwao
Mi najua hiyo ni mechanism ili kiwamaliza nguvu wachwara
watu wajue kwamba Yule anazo nikienda na vichenji vyangu simli
kumbe analiwa tu hata kwa buku ya bodaboda