au magazeti yamemnukuu vibaya?
Kuelekea 2015,kwa kwel tutayasikia mengi.
You never know labda nae sooner or later ataibuka na Oscars kama Lupita
Mmmhhhh#mwallu
Binamu ni pm nikupe uji wa motoo, fasta kabla haujapoa..
Njee ya nyumba yao pale Moshi ..Msaranga (Kitongoji maarufu cha kuchemsha PIWA (Gongo)
wolper amesoma st marygoret moshi.. kidogo familia yao wanajiweza
Basi alisoma mwaka mmoja au miwili mana English yake majanga
Basi alisoma mwaka mmoja au miwili mana English yake majanga
Kweli Binamu maana St. Mary Goreth naijua vizuri na mdogo wangu anasoma pale, wasingemtoa patupu kwenye Lugha ya Malkia.
Binamu ni pm nikupe uji wa motoo, fasta kabla haujapoa..