Wolper: Wazazi Wangu ni Matajari Hawahitaji Msaada Wangu

Wolper: Wazazi Wangu ni Matajari Hawahitaji Msaada Wangu

Wazazi wake walikua wanaishi Kibaha mwendapole mdogo wake amesoma shule ya kata Nyumbu walikua wanasali pale KKKT mwendapole na wazazi wake na yeye akiwemo ni familia ya kawaida sana
 
wolper amesoma st marygoret moshi.. kidogo familia yao wanajiweza
 
si huyu nilisikia alikuwa anauza sabuni na kufanya kazi salon? what happened?wazazi hawakumpa support?
 
Basi alisoma mwaka mmoja au miwili mana English yake majanga

Kweli Binamu maana St. Mary Goreth naijua vizuri na mdogo wangu anasoma pale, wasingemtoa patupu kwenye Lugha ya Malkia.
 
Kweli Binamu maana St. Mary Goreth naijua vizuri na mdogo wangu anasoma pale, wasingemtoa patupu kwenye Lugha ya Malkia.

Maana utumbo anaoandikag mitandaon dah , sijui anatak kushindan n wema
 
Back
Top Bottom