Maana utumbo anaoandikag mitandaon dah , sijui anatak kushindan n wema
wolper amesoma st marygoret moshi.. kidogo familia yao wanajiweza
wolper amesoma st marygoret moshi.. kidogo familia yao wanajiweza
Mmh wana utajir gani? Sijawahi kuona watoto wa matajir wakaacha shule na kukimbilia bongo movie, kwanza wolper mwenyewe kasoma kayumba, shangazi yake ndo anawasitir na ki mini super market cha kule a town ila empty hao
Mshen.zi huyu matajiri wote hapa tunawajuwa yeye aseme wazee wake wanaweza kubali mboga sio matajiri
Tena anyamaze kbs nko na mama yake mdogo hpa sekei arusha kachoka kbs,ntaweka picha hpa!tunamjua nje ndani!

Member wa hili jukwaa kwa umbea,nimewakubali aisee.
St. Marygoret ya wap? Alisoma ekenywa sekondari na hakumaliza alifukuzwa shule kwa kosa la kutembea na second master wao shuleni kwao
From there akaenda ka chuo cha management pale kimandolu akaanza kuonekana na wana apollo wakamfundisha starehe na ku ride piki piki...ka chuo kile akaacha ndio akakimbilia mjini dar nikaanza kumuona tena akiwa kwenye muvi.
Ekenywa ya Umenyeni?
Member wa hili jukwaa kwa umbea,nimewakubali aisee.
Yes,Ekenywa hiyo hiyo mkuu. Karibu na Ilboru sec.
Bila umbea hatulali wenginee roho kwatu!!!!!!