Wolper: Wazazi Wangu ni Matajari Hawahitaji Msaada Wangu

wolper amesoma st marygoret moshi.. kidogo familia yao wanajiweza

St. Marygoret ya wap? Alisoma ekenywa sekondari na hakumaliza alifukuzwa shule kwa kosa la kutembea na second master wao shuleni kwao

From there akaenda ka chuo cha management pale kimandolu akaanza kuonekana na wana apollo wakamfundisha starehe na ku ride piki piki...ka chuo kile akaacha ndio akakimbilia mjini dar nikaanza kumuona tena akiwa kwenye muvi.
 
Mmh wana utajir gani? Sijawahi kuona watoto wa matajir wakaacha shule na kukimbilia bongo movie, kwanza wolper mwenyewe kasoma kayumba, shangazi yake ndo anawasitir na ki mini super market cha kule a town ila empty hao

hahahahah we jamaa unatisha sana!
 
Mshen.zi huyu matajiri wote hapa tunawajuwa yeye aseme wazee wake wanaweza kubali mboga sio matajiri
 
Nashangaa mbona Johari hana hizo? Mtoto wa watu kashajijua ni mapuka yeye, hana hat nyodo, Anapiga zake kazi tu, tatizo hawa wengine sasa kujifanya baba zao mawazir
 
Tena anyamaze kbs nko na mama yake mdogo hpa sekei arusha kachoka kbs,ntaweka picha hpa!tunamjua nje ndani!
 
Mshen.zi huyu matajiri wote hapa tunawajuwa yeye aseme wazee wake wanaweza kubali mboga sio matajiri

Na ni kweli matajiri wote wanajulikana hapa Tanzania labda ni familia ya Lowassa au Mengii
 
St. Marygoret ya wap? Alisoma ekenywa sekondari na hakumaliza alifukuzwa shule kwa kosa la kutembea na second master wao shuleni kwao

From there akaenda ka chuo cha management pale kimandolu akaanza kuonekana na wana apollo wakamfundisha starehe na ku ride piki piki...ka chuo kile akaacha ndio akakimbilia mjini dar nikaanza kumuona tena akiwa kwenye muvi.

Ekenywa ya Umenyeni?
 
Back
Top Bottom