Mmh wana utajir gani? Sijawahi kuona watoto wa matajir wakaacha shule na kukimbilia bongo movie, kwanza wolper mwenyewe kasoma kayumba, shangazi yake ndo anawasitir na ki mini super market cha kule a town ila empty hao
Matajiri???... asingeadhirika hivo mjini, angeshona visweta vya chekechea, chezea njaa!
Mmh wana utajir gani? Sijawahi kuona watoto wa matajir wakaacha shule na kukimbilia bongo movie, kwanza wolper mwenyewe kasoma kayumba, shangazi yake ndo anawasitir na ki mini super market cha kule a town ila empty hao
Halafu ana miguu mizuri ,ana mguu wa mbu!
Tatizo mbunye yaaani ukihimili smell ukaweza kupiga kimoja wewe ni mwanaume wa shoka na unastahili medani
Kuna kipindi huyo wolper alikuwa na mtu wake anaitwa chid , jamaa alikuwa young tu ila ana pesa chafu za sembe, jamaa alikuwa anawala sana mademu coz alikuwa anawahonga sana magari, kuna siku bhna wolper kajipeleka usiku kama mida ya saa nne ivi, kumbe jamaa alikuwa ndan na machine mpya, wolper gonga sana hodi watu kimya ndan wanakula uroda, wolper c akapiga kelele afunguliwe, yaan alijidharirisha sana , jamaa alitoka na bastola akamtishia nayo wolper, jamaa kamtukana sana wolper, dah dhiki mbaya sana, watu walijaa hatari, apo apo wolper akamwagwa, wasanii nyodo kweny TV na instagram in real life hawana kitu mamburula tu..
chid yule white aliwala melisa na masogange? uenda siku hiyo chid alikuwa na demu diamond wa zaman