Wolper: Wazazi Wangu ni Matajari Hawahitaji Msaada Wangu

Wolper: Wazazi Wangu ni Matajari Hawahitaji Msaada Wangu

Mmh wana utajir gani? Sijawahi kuona watoto wa matajir wakaacha shule na kukimbilia bongo movie, kwanza wolper mwenyewe kasoma kayumba, shangazi yake ndo anawasitir na ki mini super market cha kule a town ila empty hao



Matajiri???... asingeadhirika hivo mjini, angeshona visweta vya chekechea, chezea njaa!
 
Si aweke picha za utajiri anaousema? Natamani mtu aweke picha ya kwao, enzi hizo na sasa.
 
Mmh wana utajir gani? Sijawahi kuona watoto wa matajir wakaacha shule na kukimbilia bongo movie, kwanza wolper mwenyewe kasoma kayumba, shangazi yake ndo anawasitir na ki mini super market cha kule a town ila empty hao

Sio kukimbilia Bongo movie, bali kukimbilia kwenye kutembeza sabuni za promo mitaani, maana ndipo alipoanzia. Sidhani kama wazazi matajiri wanaweza kukubali binti yao aanze maisha kwa kutembeza sabuni mitaani.
 
Hivi kwanini kila kisemwachwo lazima wajibu....mtu kamabhuyu si angeenda tu huko kwao akapiga picha na wazee akarusha mtandaoni fb au insta akanyamaza kimya...
 
Badala ya kufata mfanobwa Diamond ambaye hata juzi kwa party aliipa shout Tandale kukumbushia wapi anatoka...yaani waliohudhuria wakumbuke yeye ni wa Tandale.
 
tunaojua familia yake ngoja tukae kimya..
nendeni pale kibaha kwa mfipa ulizia kwa masawe utaona hali halisi
 
Huyu wolper anachokitaka atakipata....kaona kusagana kumemshinda sasa anataka kick kupitia kwa her innocent parents, maana mwisho wa siku mafaili ya wazazi wake yatakuja kuwekwa hadharani......nyie wasanii acheni ulimbukeni na maisha, inajulikana kabisa wanaokimbilia sanaa ni waliopigwa na life sasa wewe kama ulikua wakishua kwanini ukimbilie sanaa wakati wazazi wako walikua na uwezo wakukuwekea great future ahead...? Nakumbuka wolper wakati marehemu Sajuki anafariki, wolper alikua anatoka na muuza ngada mmoja akamuhonga BMW X6 lakini siku wolper kaachwa alivyodharirishwa kwenye tukio lakunyanganywa hiyo BMW mmmmh, hata hivyo unamoyo dada kama bado unataka kick
 
One day akihojiwa alisema amewah kuhama nyumba ya rum 2 aliyokuwa akiish na kuhamia single kwa sabab ya kuwasaidia wazaz wake
 
Hajapata jamaa lingine la kumuweka mujini?
 
Kuna kipindi huyo wolper alikuwa na mtu wake anaitwa chid , jamaa alikuwa young tu ila ana pesa chafu za sembe, jamaa alikuwa anawala sana mademu coz alikuwa anawahonga sana magari, kuna siku bhna wolper kajipeleka usiku kama mida ya saa nne ivi, kumbe jamaa alikuwa ndan na machine mpya, wolper gonga sana hodi watu kimya ndan wanakula uroda, wolper c akapiga kelele afunguliwe, yaan alijidharirisha sana , jamaa alitoka na bastola akamtishia nayo wolper, jamaa kamtukana sana wolper, dah dhiki mbaya sana, watu walijaa hatari, apo apo wolper akamwagwa, wasanii nyodo kweny TV na instagram in real life hawana kitu mamburula tu..

chid yule white aliwala melisa na masogange? uenda siku hiyo chid alikuwa na demu diamond wa zaman
 
chid yule white aliwala melisa na masogange? uenda siku hiyo chid alikuwa na demu diamond wa zaman

Ni white ndio alikuwa anakaa sinza opposite na mliman,hakuwa maarufu ila pesa tu zilimfanya awagonge wasanii maarufu
 
Back
Top Bottom