Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Sio kweli the guy alikuwa hajiaminiMwenye matatizo ni wewe baada ya kumvuruga huyo jamaa ulijifunza!! Huwa mnajifunza too late
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli the guy alikuwa hajiaminiMwenye matatizo ni wewe baada ya kumvuruga huyo jamaa ulijifunza!! Huwa mnajifunza too late
Sio kweli, huwezi kutaka kum-shape mtu ikiwa wewe mwenyewe hujajishape.!!Mwenye mwatatizo obvious ni yule anaye shape-wa
Nyumba bora inajengwa na wote wawili mume na mke.!!Kila mmoja awajibike na ajirekebishe kwa matendo yake, wewe ni mtu mzima una akili timamu unajua jema na baya kwaiyo utakaopoona unakosea sehemu jirekebishe wala hauna haja ya kumuangalia mwanaume kama kioo, usitumie kauli ya kuishi nanyi kwa akili kutaka kuhalalisha misbehaves zako kwa kufikiri kwamba mwanaume ndie anatakiwa kukulekebisha.
Ndio maana nikaikataa kauli uliyoitumia kwamba tuishi na nyie kwa akili. Ninachotaka kusema kwamba wote muwajibike ku-apply akili zenu, shida ni kwamba mnahalalisha misbehaves zenu kwa kisingizio kwamba mwanaume ameshindwa kuku-handleNyumba bora inajengwa na wote wawili mume na mke.!!
Kila mtu ana tabia zake, wewe ukiona za mwenzio mbaya kwanza chunguza zako ziko vizuri.??
Je, yy kuna tabia zako anazipenda au naye anakuvumilia??
Mapenzi matamu mkikutana mliochaguana kuaminiana.!!
Siku hizi wanaume wanaokota wanawake barabarani, anaona miguu mizuri,kiuno kipo, mapaja mazuri anatangaza kuowa, zamani background check ilisaidia sana. Watu waliishi kwa adabu na heshima. Pia kukaa mbalimbali inasaidia family bond.Mimi na ndugu zangu tulikua tunaishi poa sana, hatujawahi kuwa na ugomvi wala mfarakano wowote.
Nina ma bro wawili na dada wawili. Shughuli ilianza huyo bro wangu wapili alipooa.
Mke wake akaanzisha ugomvi usio na kichwa wala miguu na mke wa bro mkubwa. Ugomvi ukaenda mbali mpaka kuna siku wameshikiana mapanga wanataka kukatana! Tukawaamulia, wakapatanishwa.
Kumbe kichinichini ugomvi ukawa unaendelea. Huku na huku waume zao nao wakatumbukia kwenye hilo sakata, ikafika mahali sasa ma bro wote wawili na wake zao hakuna anaeongea na mwenzake!
Haikuishia hapo, huyu mke wa bro mdogo kuna siku akapiga simu kwa dada yangu na kumueleza ishu fulani nzito kuhusu bro (mumewe). Dada zangu wawili ikabidi waende kuongea na bro kuhusu hilo tatizo. Kufika kule, yule mama kawaruka kasema yeye hajawahi kuwaambia kitu kama icho, wanamsingizia.! Bro nae kamaindi, anawaona dada zake kama ma snichi wanataka kumharibia ndoa yake!
Hapa tulipo sasa hivi hakuna anaeongea na mwenzake familia nzima.
Wanawake mnayo hiyo tabia ambayo wewe umeionesha.Haya sasa nimerudi,
Hiko hivi yule mwanaume naweza kusema ndiye “MWANAUME PEKEE” niliyewahi kumpenda kwa akili zangu toka nimefika duniani.!!
Tatizo lake kubwa “HAJIAMINI”
Yani ni mtu ambaye always ana mashaka, visirani na gubu.!!
Anahubiri vitu ambavyo yeye haviishi.!!
Sipendi kuingia sana deep ila ni mwanaume hajui anachokitaka.
Unaweza ukaongea na mtu kawaida ila yy akajipa tafsiri tofauti, amejaa malalamiko km Gen z wa Kenya.!!
Lakini upande wake ni mshenzi nikianza kuweka mitabia yake ntajaza saver.!!
Ni tatizo kubwa sana hili, vijana wanaoa kwa kuangalia sura na tako ili watambiane nani ana mke mzuri. Vigezo vya maana kama bikira, body count, utiifu na past ya mwanamke vinapuuzwa. Mbaya zaidi mpaka tunaojaribu kuwasanua vijana wenzetu tunaambiwa "tafuta hela"Siku hizi wanaume wanaokota wanawake barabarani, anaona miguu mizuri,kiuno kipo, mapaja mazuri anatangaza kuowa, zamani background check ilisaidia sana. Watu waliishi kwa adabu na heshima. Pia kukaa mbalimbali inasaidia family bond.
Matokeo yake heshima inaondoka.Ni tatizo kubwa sana hili, vijana wanaoa kwa kuangalia sura na tako ili watambiane nani ana mke mzuri. Vigezo vya maana kama bikira, body count, utiifu na past ya mwanamke vinapuuzwa. Mbaya zaidi mpaka tunaojaribu kuwasanua vijana wenzetu tunaambiwa "tafuta hela"
So true, wanawake naturally sio viumbe wa kushirikishwa kwenye sensitive matters... they don't have logic wanayumbishwa sana na emotions so hujakaa sawa anakutoa mchezoni. Kikubwa kuishi nao kwa akiliMimi na ndugu zangu tulikua tunaishi poa sana, hatujawahi kuwa na ugomvi wala mfarakano wowote.
Nina ma bro wawili na dada wawili. Shughuli ilianza huyo bro wangu wapili alipooa.
Mke wake akaanzisha ugomvi usio na kichwa wala miguu na mke wa bro mkubwa. Ugomvi ukaenda mbali mpaka kuna siku wameshikiana mapanga wanataka kukatana! Tukawaamulia, wakapatanishwa.
Kumbe kichinichini ugomvi ukawa unaendelea. Huku na huku waume zao nao wakatumbukia kwenye hilo sakata, ikafika mahali sasa ma bro wote wawili na wake zao hakuna anaeongea na mwenzake!
Haikuishia hapo, huyu mke wa bro mdogo kuna siku akapiga simu kwa dada yangu na kumueleza ishu fulani nzito kuhusu bro (mumewe). Dada zangu wawili ikabidi waende kuongea na bro kuhusu hilo tatizo. Kufika kule, yule mama kawaruka kasema yeye hajawahi kuwaambia kitu kama icho, wanamsingizia.! Bro nae kamaindi, anawaona dada zake kama ma snichi wanataka kumharibia ndoa yake!
Hapa tulipo sasa hivi hakuna anaeongea na mwenzake familia nzima.
Marry at your own risk [emoji3][emoji3][emoji3]Mwanaume lazima utambue kwamba mwanamke ni taswira ya matatizo, from the first place a woman existed on the earth all she brought along is troubles.
Angalia majanga aliyosababisha Hawa bustanini pale Eden, angalia msala aliokutana nao Samson baada ya kukutana na Delila.
Hauwezi kusikia mume kuwa chanzo cha utengano upande wa familia ya mke, mara zote mke ndie anakua chanzo cha mifarakano upande wa familia ya mume.
Familia itakua na mshikamano, biashara itaenda vizuri, amani itatamalaki lakini akishaingia mwanamke tu katikati kila kitu kinavulugika.
Role inayowafaa wanawake ni kuwa mama wa nyumbani tu, wabakie kuzaa, kulea na kuangalia nyumba. Mwanamke akijumuishwa kwenye mambo mengine kama ufanyaji maamuzi, biashara, uongozi n.k lazima asababishe majanga.
Mwanamke hawezi kuja na solution mezani, women always brings problems, wewe mwenyewe linganisha kipindi ambacho haukua na mahusiano na kipindi ulikua katika mahusiano ni kipindi gani ulikua unaishi bila stress.
Women are trouble maker specialists, they always look for loopholes to cause problems, don't take them seriuos. If you decide to marry her then marry at your own risk.
Nimeipenda hii mkuu just give simps their doseMwanaume lazima utambue kwamba mwanamke ni taswira ya matatizo, from the first place a woman existed on the earth all she brought along is troubles.
Angalia majanga aliyosababisha Hawa bustanini pale Eden, angalia msala aliokutana nao Samson baada ya kukutana na Delila.
Hauwezi kusikia mume kuwa chanzo cha utengano upande wa familia ya mke, mara zote mke ndie anakua chanzo cha mifarakano upande wa familia ya mume.
Familia itakua na mshikamano, biashara itaenda vizuri, amani itatamalaki lakini akishaingia mwanamke tu katikati kila kitu kinavulugika.
Role inayowafaa wanawake ni kuwa mama wa nyumbani tu, wabakie kuzaa, kulea na kuangalia nyumba. Mwanamke akijumuishwa kwenye mambo mengine kama ufanyaji maamuzi, biashara, uongozi n.k lazima asababishe majanga.
Mwanamke hawezi kuja na solution mezani, women always brings problems, wewe mwenyewe linganisha kipindi ambacho haukua na mahusiano na kipindi ulikua katika mahusiano ni kipindi gani ulikua unaishi bila stress.
Women are trouble maker specialists, they always look for loopholes to cause problems, don't take them seriuos. If you decide to marry her then marry at your own risk.
Mwanamke hajaumbwa bali alinyofolewa kwenye ubavu wa me,usirudie kosa hilo tenaMwanamke ni kiumbe kizuri kilichoumbwa kwa mfano wa kupendeza, shida inakuja wanaume the way mnavyowatreat hapo ukishindwa kuishi nae kwa akili lazima awe trouble maker.!!
Kuna aina flani ya kitu umetumia sio bureSijui kwanini nimesoma comments zote halafu nimeona kati yenu wanaume wote mliocomment hamna mwenye moral authority ya kukosoa “tabia za wanawake” kwasababu naona tunafanana tabia. 😀😀
Most of you ni cry babies, emotional little men, and what not!
Wanawake tuna matatizo kweli, so y’all guys! hebu jikosoeni basi!
Kuna wanaume nawafahamu, wakikosoa tabia za wanawake sitakuwa na tatizo nao…..
I said what i said, niko makumbusho mje mnipigie.