Women are trouble makers

Nyumba bora inajengwa na wote wawili mume na mke.!!
Kila mtu ana tabia zake, wewe ukiona za mwenzio mbaya kwanza chunguza zako ziko vizuri.??
Je, yy kuna tabia zako anazipenda au naye anakuvumilia??
Mapenzi matamu mkikutana mliochaguana kuaminiana.!!
 
Nyumba bora inajengwa na wote wawili mume na mke.!!
Kila mtu ana tabia zake, wewe ukiona za mwenzio mbaya kwanza chunguza zako ziko vizuri.??
Je, yy kuna tabia zako anazipenda au naye anakuvumilia??
Mapenzi matamu mkikutana mliochaguana kuaminiana.!!
Ndio maana nikaikataa kauli uliyoitumia kwamba tuishi na nyie kwa akili. Ninachotaka kusema kwamba wote muwajibike ku-apply akili zenu, shida ni kwamba mnahalalisha misbehaves zenu kwa kisingizio kwamba mwanaume ameshindwa kuku-handle
 
Siku hizi wanaume wanaokota wanawake barabarani, anaona miguu mizuri,kiuno kipo, mapaja mazuri anatangaza kuowa, zamani background check ilisaidia sana. Watu waliishi kwa adabu na heshima. Pia kukaa mbalimbali inasaidia family bond.
 
Wanawake mnayo hiyo tabia ambayo wewe umeionesha.

Yani mwanamke kama unamrekebisha juu ya jambo fulani,yeye mwanamke anaweza akaacha kukubali kurekebishika kwa kisingizio tu cha kwamba mbona yeye mwenyewe ana hili,ana lil na lile,yaani wanawake mna million of excuses pale ambapo mnapewa oda ya kubadilika.

Sasa kama yeye ana madhaifu yake basi yanakuzuia nini wewe kubadilika kama kweli umejiona una matatizo hayo unayoambiwa ?

Wanawake ni wengi akili ni fupi sana,ndio maana the best way ya kuishi na mwanamke ni kuwa wewe mfalme na yeye awe kama mtumishi,mwaamke lazima aendeshwe kimfumo dume.

Hatakiwi akuzowee to the extent mpaka tena anaanza kujudge oda za mume,lazima awe na mipaka,lazima ajue misimamo yako.

ALways mwanamke anatakiwa afuate utaratibu wa mumewe na sio aje na utaratibu wake.

AKili kwa tafsiri nyingine ni Nguvu,ukiwa na akili basi una nguvu,hivyo tunapoambiwa tuishi na mwanamke kwa akili basi tujue nguvu nayo ni sehemu ya akili.
 
Siku hizi wanaume wanaokota wanawake barabarani, anaona miguu mizuri,kiuno kipo, mapaja mazuri anatangaza kuowa, zamani background check ilisaidia sana. Watu waliishi kwa adabu na heshima. Pia kukaa mbalimbali inasaidia family bond.
Ni tatizo kubwa sana hili, vijana wanaoa kwa kuangalia sura na tako ili watambiane nani ana mke mzuri. Vigezo vya maana kama bikira, body count, utiifu na past ya mwanamke vinapuuzwa. Mbaya zaidi mpaka tunaojaribu kuwasanua vijana wenzetu tunaambiwa "tafuta hela"
 
Matokeo yake heshima inaondoka.

Mtu anataka kuoa lazima we spy,ajue huyo demu ana hadhi gani mtaani kama ni adabu ama mshenzi.

Ila vijana wa sasa hatutaki,tunasema kuoa ni kuweka mkono gizani,wakati huo kuna tochi ila hatuzitaki tochi bado tunang'ng'ana na usemi kuoa ni kutia mkono gizani.

Ambaye atachunguza wapi anaoa basi anapunguza kero nyingi sana kwemye ndoa yake.
 
So true, wanawake naturally sio viumbe wa kushirikishwa kwenye sensitive matters... they don't have logic wanayumbishwa sana na emotions so hujakaa sawa anakutoa mchezoni. Kikubwa kuishi nao kwa akili
 
Marry at your own risk [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimeipenda hii mkuu just give simps their dose
 
Sijui kwanini nimesoma comments zote halafu nimeona kati yenu wanaume wote mliocomment hamna mwenye moral authority ya kukosoa “tabia za wanawake” kwasababu naona tunafanana tabia. 😀😀

Most of you ni cry babies, emotional little men, and what not!

Wanawake tuna matatizo kweli, so y’all guys! hebu jikosoeni basi!

Kuna wanaume nawafahamu, wakikosoa tabia za wanawake sitakuwa na tatizo nao…..

I said what i said, niko makumbusho mje mnipigie.
 
Kuna aina flani ya kitu umetumia sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…