Women are trouble makers

🤣.

Mimi ukinipiga makofi sikurudishii nakuwacha tu,kupigana na mwanamke ni kudhihirisha kwamba unalingana nae uwezo.

The best ni kumuwacha akupige then mimi najua nitakupiga wapi HAYO MAKOFI.😁
Sasa kumbe unajua jinsi ya kutuliza mawimbi baharini kwann ukaze fuvu?? 😹😹
 
Huwa wanajifanya wanajua kila kitu
 
Alafu kama nyie ndio wazuri mnaojifanyaga wagumu,mnakuwa too attractive kwetu sisi wanaume wakorofi,watata wasumbufu.

Maana mnatufanya tuzidi kuonesha uanaume wetu ule wa utsta,ubishi,ukorofi na uongozi.
Mi JEURI kweli na sipendi kuyumbishwa, mwanaume km hujiamini utaaga mashindano mwenyewe.!!
Mwanaume awe mkorofi, mbishi, mjuaji km anajiamini huyo ataniwin
 
Harakati za ferminism zilikua na nia nzuri shida ni kwamba mlizitumia kama platform ya kusambaza chuki na visasi dhidi ya mwanaume. Ubaguzi wa kijinsia mliokua mnaupinga nyie ndio mkawa mnaufanya kwa vitendo huku mkifikiri ni 50/50. Lilikua ni suala la muda tu mwanaume kuchoka na usumbufu. wenu. Sasa hivi vijana hawaoi, wakishaanz kujipata mali wanaandika majina ya mama zao, single mothers wanazidi kuongezeka kwenye jamii hii yote ninkwa sababu mwanaume ashampuuza mwanamke. Sasa hivi huu utengano ndio unaanza kwa ambae haangalii mbali anaweza kupuuzia lakini mbeleni kutakua na uadui mkubwa zaidi wa kijinsia.
 
😁.
tunaonesha utaratibu ambao tunao,ndio maana wanawakw mnaambiwa hamujui kusikiliza wala kusoma maelekezo na kuyaelewa.

Mfano mzuri ni wewe😁
Uelewa wake ni mdogo sana uyo dada, ndio maana nimeona nijiweke pembeni.
 
Women are trouble maker specialists, they always look for loopholes to cause problems, don't take them seriuos. If you decide to marry her then marry at your own risk.
Hapa nimekupata vyema sana Mkuu! Ishi sana!
 
Do you think it is that personal? It’s all about who wants to take power over another. So usifikiri hiyo vita unayoihubiri itakujapiganwa physically. We mbona kama huelewi mambo mepesi sana?

Ndoa kuwa kama zilivyo sasa ni matokeo ya dunia kubadilika, kila kitu kimebadilika so as “ndoa” mnataka kila kitu kibadilike ndoa zibaki hivyo hivyo? funny 😄 isn’t it?

Na inachekesha sana we kudhani wanaume kutokuoa mnakomoa wanawake, Kila siku mnawaambia “mnawatisha” wanawake wabadilike , umewaona wakibadilika? si ndio kwanza wanazidisha kichaa? unadhani hawajui wanachofanya? Nasikitika kukwambia hawajali, na wataishi hivyo na maisha yataenda, stop acting like kuna siku dunia itasimama. Kila siku Jadda anakwambia humu wanawake hawazihitaji ndoa kivileee, sio kama ambavyo delusional you and your fellow think. Wanawake wangekuwa na shida hiyo wangebadilika bana kuendana na matakwa yenu.

However kwenye hilo vuguvugu watu wataendelea kupendana, kuchukiana, kuachana, kupendana na kuendelea. Stop being delulu.

Chuki? nope sio chuki… it’s about power… Wewe kuwa na weak emotions ndio zimekufanya udhani hiyo ni chuki. Kwahiyo kama ni chuki unataka kusema mwanaume alivyomnyima power mwanamke ilikuwa ni chuki? Open your mind kid.
 
Lengo sio kumkomoa mwanamke lengo ni kuwaamsha wanaume wenzangu wajue kwamba tupo kwenye nyakati tofauti. Ndoa ian loopholes nyingi sana ambazo mwanamke akizitumia mwanaume ataita maji mma

Mnakosea kufikiri walengwa wa maandiko yangu ni wanawake infact ninaowalenga ni wanaume wenzangu waweze ku-unlock alpha characters zao na kuona jinsi mifumo inavyowanyonya then wachukue hatua za kuji-adjust kwenye mfumo.

Dunia imebadilika katika kila nyanja. Kwa sasa wanawake wameshatoka kwenye mapenzi ya dhati wapo kwenye phase ya mapenzi ya masilahi lakini wanaume bado wanajivuta kuendana na mabadiliko hayo ya nyakati. Wakati mwanaume anapambana kuwa shujaa mwanamke yupo kimasilahi that's not fair game.

Ni ngumu kuelewa kwa sababu wewe sio mwanaume na vile vile ninayoyaandika yanaalibu masilahi ya jinsia yako. Sijakataza watu kupenda muhimu usijisahau kupitiliza. Hakimi Achraf angepumbazwa na hayo mapenzi angeshapigwa na kitu kizito
 
Sisi wanaume tumekuelewa mkuu na tunaunga mkono hoja.

Hawa wanaojaribu kupambana na hoja zako ndio wanawake wenyewe ambao uzi uliandikwa kututahadharisha kuhusu wao.

Mwanamke mwenye akili timamu hawezi kukataa uhalisia ambao umeuzungumza kwa sasa wanawake wakitumia vyema nafasi zao basi tumekwisha sana.

Ni vyema kama wanaume tuendelee kutahadharishana kuhusiana na haya mambo.
 
 
Mwanamke ni kiumbe kizuri kilichoumbwa kwa mfano wa kupendeza, shida inakuja wanaume the way mnavyowatreat hapo ukishindwa kuishi nae kwa akili lazima awe trouble maker.!
ukweli mkuu! Nice guy wengi wanawatreat romantic. Bad guy wao wanaweza kuwamanage maana hawapo romantic. Ndoa inawezwa na bad guy tu. Wengine watulie waishi bila ndoa otherwise watakuwa wanalamika kila uchwao
 
ukweli mkuu! Nice guy wengi wanawatreat romantic. Bad guy wao wanaweza kuwamanage maana hawapo romantic. Ndoa inawezwa na bad guy tu. Wengine watulie waishi bila ndoa otherwise watakuwa wanalamika kila uchwao
😂😂😂 umeongea kwa huzuni sana’a
Nice guy hawajiamini wao wanatafutwa kupendwa ndiomana wanapigwa matukio kila uchwao.!!
Ni wepesi wa kupenda hovyo ndio kinachowacost
 
Mwanamke ni kiumbe kizuri kilichoumbwa kwa mfano wa kupendeza, shida inakuja wanaume the way mnavyowatreat hapo ukishindwa kuishi nae kwa akili lazima awe trouble maker.!!
Shida yangu kubwa ipo hapa;

1. Kwanini mama wakwe ndo wanagombana na wake wa watoto wao?

2. Kwanini husikii baba mkwe amegombana na mume wa mtoto wake?

Kuunganisha maswali hayo mawili, kwanini wanawake kwa wanawake ndo hugombana na si wanaume kwa wanaume kwenye ukwe na ndoa?
 
Nakubali 100% from my own experience
 
Mwanamke ni kiumbe kizuri kilichoumbwa kwa mfano wa kupendeza, shida inakuja wanaume the way mnavyowatreat hapo ukishindwa kuishi nae kwa akili lazima awe trouble maker.!!
😂😂😂 sikia huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…