Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #161
Women are trouble makersShida yangu kubwa ipo hapa;
1. Kwanini mama wakwe ndo wanagombana na wake wa watoto wao?
2. Kwanini husikii baba mkwe amegombana na mume wa mtoto wake?
Kuunganisha maswali hayo mawili, kwanini wanawake kwa wanawake ndo hugombana na si wanaume kwa wanaume kwenye ukwe na ndoa?
😀😀😀😀😀😀😂😂😂 sikia huyu
Jamaa umewakomalia mwezi mzima unabandika nyuzi za kuwapona.Mwanaume lazima utambue kwamba mwanamke ni taswira ya matatizo, from the first place a woman existed on the earth all she brought along is troubles.
Angalia majanga aliyosababisha Hawa bustanini pale Eden, angalia msala aliokutana nao Samson baada ya kukutana na Delila.
Hauwezi kusikia mume kuwa chanzo cha utengano upande wa familia ya mke, mara zote mke ndie anakua chanzo cha mifarakano upande wa familia ya mume.
Familia itakua na mshikamano, biashara itaenda vizuri, amani itatamalaki lakini akishaingia mwanamke tu katikati kila kitu kinavulugika.
Role inayowafaa wanawake ni kuwa mama wa nyumbani tu, wabakie kuzaa, kulea na kuangalia nyumba. Mwanamke akijumuishwa kwenye mambo mengine kama ufanyaji maamuzi, biashara, uongozi n.k lazima asababishe majanga.
Mwanamke hawezi kuja na solution mezani, women always brings problems, wewe mwenyewe linganisha kipindi ambacho haukua na mahusiano na kipindi ulikua katika mahusiano ni kipindi gani ulikua unaishi bila stress.
Women are trouble maker specialists, they always look for loopholes to cause problems, don't take them seriuos. If you decide to marry her then marry at your own risk.
Wanawake ni pasua kichwa (mishipa)?Wachaga wana msemo wao wanasema
"Waka nyi shipaŕa mŕi"
Kwa anaejua kichaga kile cha ndani ataelewa.
Bro shida ni pale tunapogundua ufikiri wa hawa viumbe kuwa uko kinyume na vile inavyotakiwa kuwa.Kwamba mwenye tatizo sio wewe ambae ulikua na tatizo ila mwenye tatizo ni ambae alitumia approach ambayo haikuondoa tatizo lako, ridiculous.!
Kwamba ukitaja hao uliotaja hapo ndio inabadilisha hoja auJamaa umewakomalia mwezi mzima unabandika nyuzi za kuwapona.
Women- including you Mother and Your Sisters are trouble makers
Au Mama yako sio Women? She is also a trouble maker.Kwamba ukitaja hao uliotaja hapo ndio inabadilisha hoja au
Mbona uko very weak kwenye kuattack hoja ya mtu
Badala yake unataka ushind kwa kulazimisha kumuattack yeye?
Kwan wewe hao uliowataja huna?
Je ni nini kinakuvuta kuattack wa wengine?
Nitakujibu kuwa yes maana hata mimi ninaemuita Mama ni mke wa mtu ambae ni Baba na sister angu ni mke pia kwa broo mwingine in the name of inlaw.
Baba na huyo In-law ni wanaume katika umoja wetu.
So wewe au mimi au Natafuta Ajira kuwa na vinasaba na wanawake hakuondoi uthabiti wa kuyakemea yale tunayoyaona hayapo sawa na kuwaweka sawa Mamen wengine.
Au wewe unadhan akiwa mama yako au sister ako basi anakuwa na tiketi ya kudiserve male and female milleage at once?
Apply trouble shooting utakuja kunishukuru 😁😁Mwanaume lazima utambue kwamba mwanamke ni taswira ya matatizo, from the first place a woman existed on the earth all she brought along is troubles.
Angalia majanga aliyosababisha Hawa bustanini pale Eden, angalia msala aliokutana nao Samson baada ya kukutana na Delila.
Hauwezi kusikia mume kuwa chanzo cha utengano upande wa familia ya mke, mara zote mke ndie anakua chanzo cha mifarakano upande wa familia ya mume.
Familia itakua na mshikamano, biashara itaenda vizuri, amani itatamalaki lakini akishaingia mwanamke tu katikati kila kitu kinavulugika.
Role inayowafaa wanawake ni kuwa mama wa nyumbani tu, wabakie kuzaa, kulea na kuangalia nyumba. Mwanamke akijumuishwa kwenye mambo mengine kama ufanyaji maamuzi, biashara, uongozi n.k lazima asababishe majanga.
Mwanamke hawezi kuja na solution mezani, women always brings problems, wewe mwenyewe linganisha kipindi ambacho haukua na mahusiano na kipindi ulikua katika mahusiano ni kipindi gani ulikua unaishi bila stress.
Women are trouble maker specialists, they always look for loopholes to cause problems, don't take them seriuos. If you decide to marry her then marry at your own risk.
Kwasababu mnaishi jirani. Kaeni mbali umbali wa kupanda dala dala mbiliMimi na ndugu zangu tulikua tunaishi poa sana, hatujawahi kuwa na ugomvi wala mfarakano wowote.
Nina ma bro wawili na dada wawili. Shughuli ilianza huyo bro wangu wapili alipooa.
Mke wake akaanzisha ugomvi usio na kichwa wala miguu na mke wa bro mkubwa. Ugomvi ukaenda mbali mpaka kuna siku wameshikiana mapanga wanataka kukatana! Tukawaamulia, wakapatanishwa.
Kumbe kichinichini ugomvi ukawa unaendelea. Huku na huku waume zao nao wakatumbukia kwenye hilo sakata, ikafika mahali sasa ma bro wote wawili na wake zao hakuna anaeongea na mwenzake!
Haikuishia hapo, huyu mke wa bro mdogo kuna siku akapiga simu kwa dada yangu na kumueleza ishu fulani nzito kuhusu bro (mumewe). Dada zangu wawili ikabidi waende kuongea na bro kuhusu hilo tatizo. Kufika kule, yule mama kawaruka kasema yeye hajawahi kuwaambia kitu kama icho, wanamsingizia.! Bro nae kamaindi, anawaona dada zake kama ma snichi wanataka kumharibia ndoa yake!
Hapa tulipo sasa hivi hakuna anaeongea na mwenzake familia nzima.
Kwamba mwenye tatizo sio wewe ambae ulikua na tatizo ila mwenye tatizo ni ambae alitumia approach ambayo haikuondoa tatizo lako, ridiculous.!
Hao wanaume ni mashoga haoNa ukiwafungilia watu izo code utashambuliwa kinoma. Mimi kila siku nawaelekeza wanaume namna ambavyo mifumo inatunyonya na wanawake wanaitumia kujinufaisha cha kushangaza kuna wanaume wenzangu wananipinga. Utumwa wa fikra ni mbaya sana.