Women are trouble makers

Women are trouble makers

Shida yangu kubwa ipo hapa;

1. Kwanini mama wakwe ndo wanagombana na wake wa watoto wao?

2. Kwanini husikii baba mkwe amegombana na mume wa mtoto wake?

Kuunganisha maswali hayo mawili, kwanini wanawake kwa wanawake ndo hugombana na si wanaume kwa wanaume kwenye ukwe na ndoa?
Women are trouble makers
 
Mwanaume lazima utambue kwamba mwanamke ni taswira ya matatizo, from the first place a woman existed on the earth all she brought along is troubles.

Angalia majanga aliyosababisha Hawa bustanini pale Eden, angalia msala aliokutana nao Samson baada ya kukutana na Delila.

Hauwezi kusikia mume kuwa chanzo cha utengano upande wa familia ya mke, mara zote mke ndie anakua chanzo cha mifarakano upande wa familia ya mume.

Familia itakua na mshikamano, biashara itaenda vizuri, amani itatamalaki lakini akishaingia mwanamke tu katikati kila kitu kinavulugika.

Role inayowafaa wanawake ni kuwa mama wa nyumbani tu, wabakie kuzaa, kulea na kuangalia nyumba. Mwanamke akijumuishwa kwenye mambo mengine kama ufanyaji maamuzi, biashara, uongozi n.k lazima asababishe majanga.

Mwanamke hawezi kuja na solution mezani, women always brings problems, wewe mwenyewe linganisha kipindi ambacho haukua na mahusiano na kipindi ulikua katika mahusiano ni kipindi gani ulikua unaishi bila stress.

Women are trouble maker specialists, they always look for loopholes to cause problems, don't take them seriuos. If you decide to marry her then marry at your own risk.
Jamaa umewakomalia mwezi mzima unabandika nyuzi za kuwapona.

Women- including you Mother and Your Sisters are trouble makers
 
Kwamba mwenye tatizo sio wewe ambae ulikua na tatizo ila mwenye tatizo ni ambae alitumia approach ambayo haikuondoa tatizo lako, ridiculous.!
Bro shida ni pale tunapogundua ufikiri wa hawa viumbe kuwa uko kinyume na vile inavyotakiwa kuwa.
Si unaona mindset yake huyu? Ndivyo wanawake wengi walivyo hapa usiache hata mmoja.
Hata akimpiga teke mbwa akang'atwa ataamini tu kuwa yule mbwa ndie mwenye hatia kwamba ilipaswa yule mbwa aondoke bila kureact pamoja na yeye mwanamke kumpiga teke.
 
Jamaa umewakomalia mwezi mzima unabandika nyuzi za kuwapona.

Women- including you Mother and Your Sisters are trouble makers
Kwamba ukitaja hao uliotaja hapo ndio inabadilisha hoja au
Mbona uko very weak kwenye kuattack hoja ya mtu
Badala yake unataka ushind kwa kulazimisha kumuattack yeye?
Kwan wewe hao uliowataja huna?
Je ni nini kinakuvuta kuattack wa wengine?
Nitakujibu kuwa yes maana hata mimi ninaemuita Mama ni mke wa mtu ambae ni Baba na sister angu ni mke pia kwa broo mwingine in the name of inlaw.
Baba na huyo In-law ni wanaume katika umoja wetu.
So wewe au mimi au Natafuta Ajira kuwa na vinasaba na wanawake hakuondoi uthabiti wa kuyakemea yale tunayoyaona hayapo sawa na kuwaweka sawa Mamen wengine.
Au wewe unadhan akiwa mama yako au sister ako basi anakuwa na tiketi ya kudiserve male and female milleage at once?
 
Au Mama yako sio Women? She is also a trouble maker.
 
Mim ndo binadamu wa pili kufukuzwa eden kwasababu ya hawa viumbe

Nilipomaliza chuo nilikuwa na malengo ya kupambana nitengeneze pesa account zangu zinone na niwe na miradi kibao tu,swala la kuoa sikuwa nalo kabisa maana kias fulani wanawake nilkuwa nawajua walivyopasua kichwa,lakin kuna mjinga mmoja alijipenyeza kiajabu mpaka akaingia kwenye maisha yangu pamoja na kumwambia mim sina mpango wa kuoa kwa muda huo

Nilikuwa naishi nyumban wakat huo,naishi na mzee,na mzee aliniamin akanikabidhi biashara zake zote zikawa zinaenda poa,tatzo huyu pimbi nilipomleta nyumban akataka kuwa mtawala na baba angu hapendag unyanyasaji au uonevu hata kwa mfanyakaz

Huyu pimbi alipofika ni ugomvi na kila mtu kwenye familia ambayo mzee alikuwa nayo,kulikuwa na wajukuu na wafanyakaz,mara awachukie tu bila sababu mara wananitafutia wanawake wengine,mwisho wa siku mzee akaona hapana,akatutimua na nilikuwa sijaweka mambo vzur
 
Mwanaume lazima utambue kwamba mwanamke ni taswira ya matatizo, from the first place a woman existed on the earth all she brought along is troubles.

Angalia majanga aliyosababisha Hawa bustanini pale Eden, angalia msala aliokutana nao Samson baada ya kukutana na Delila.

Hauwezi kusikia mume kuwa chanzo cha utengano upande wa familia ya mke, mara zote mke ndie anakua chanzo cha mifarakano upande wa familia ya mume.

Familia itakua na mshikamano, biashara itaenda vizuri, amani itatamalaki lakini akishaingia mwanamke tu katikati kila kitu kinavulugika.

Role inayowafaa wanawake ni kuwa mama wa nyumbani tu, wabakie kuzaa, kulea na kuangalia nyumba. Mwanamke akijumuishwa kwenye mambo mengine kama ufanyaji maamuzi, biashara, uongozi n.k lazima asababishe majanga.

Mwanamke hawezi kuja na solution mezani, women always brings problems, wewe mwenyewe linganisha kipindi ambacho haukua na mahusiano na kipindi ulikua katika mahusiano ni kipindi gani ulikua unaishi bila stress.

Women are trouble maker specialists, they always look for loopholes to cause problems, don't take them seriuos. If you decide to marry her then marry at your own risk.
Apply trouble shooting utakuja kunishukuru 😁😁
 
K
Mimi na ndugu zangu tulikua tunaishi poa sana, hatujawahi kuwa na ugomvi wala mfarakano wowote.

Nina ma bro wawili na dada wawili. Shughuli ilianza huyo bro wangu wapili alipooa.

Mke wake akaanzisha ugomvi usio na kichwa wala miguu na mke wa bro mkubwa. Ugomvi ukaenda mbali mpaka kuna siku wameshikiana mapanga wanataka kukatana! Tukawaamulia, wakapatanishwa.

Kumbe kichinichini ugomvi ukawa unaendelea. Huku na huku waume zao nao wakatumbukia kwenye hilo sakata, ikafika mahali sasa ma bro wote wawili na wake zao hakuna anaeongea na mwenzake!

Haikuishia hapo, huyu mke wa bro mdogo kuna siku akapiga simu kwa dada yangu na kumueleza ishu fulani nzito kuhusu bro (mumewe). Dada zangu wawili ikabidi waende kuongea na bro kuhusu hilo tatizo. Kufika kule, yule mama kawaruka kasema yeye hajawahi kuwaambia kitu kama icho, wanamsingizia.! Bro nae kamaindi, anawaona dada zake kama ma snichi wanataka kumharibia ndoa yake!

Hapa tulipo sasa hivi hakuna anaeongea na mwenzake familia nzima.
Kwasababu mnaishi jirani. Kaeni mbali umbali wa kupanda dala dala mbili
 
Ndugu yangu, wewe akili zako zipo juu mno kuliko hao unaobishana nao, ndomaana hawakuelewi, ona utumbo wanaoongea. Very ridiculous
Kwamba mwenye tatizo sio wewe ambae ulikua na tatizo ila mwenye tatizo ni ambae alitumia approach ambayo haikuondoa tatizo lako, ridiculous.!
 
Na ukiwafungilia watu izo code utashambuliwa kinoma. Mimi kila siku nawaelekeza wanaume namna ambavyo mifumo inatunyonya na wanawake wanaitumia kujinufaisha cha kushangaza kuna wanaume wenzangu wananipinga. Utumwa wa fikra ni mbaya sana.
Hao wanaume ni mashoga hao
 
Back
Top Bottom