Women Down!

Ila wanawake wamezidi.
 
Hii dunia aliumbiwa mwanaume na wanawake waliletwa tu kama wasaidizi. We jiulize kwa nini mwanamke alipoumbwa tu akatenda dhambi kitu ambacho Adamu hakukiwaza hata siku moja. Ndo maana mwanamke haruhusiwi hata kusogea madhabahuni pa Bwana

Na huyo Adamu alokuwa muerevu sana akashindwa kumzuwia msaidizi wake tu ambae ni so weak kutenda dhambi wakaangamia pamoja!
 
Wanawake ndio hawaheshimu tofauti zao na wanaume....

Kwa sababu mmeacha kuwa wanaume! Ona sasa mwaolewa mwaweka ndani na kulishwa, badala ya kuwa wasaidizi wenu tumekuwa mabosi wenu! Tumefill ombwe liliochwa nanyi kwa kujifanya si wanaume tena so tukadai na haki sawa! Period. Badala ya kutuhandle with care mmetufanya tuwe majasiri kushinda nyie, yaani kila nikiwaangalia wakaka wa siku hizi naumia kichwa, namuambia my mdogo mwanaume plzzzz no matter ulivyo be a man.
Unatoka out na mkaka bill ikija anakuangalia...! Yu guys u stop being providers na sijui mko nn nowday! Dah... niishie hapo mnatia hasira
 
Na huyo Adamu alokuwa muerevu sana akashindwa kumzuwia msaidizi wake tu ambae ni so weak kutenda dhambi wakaangamia pamoja!

Unajua mwanamke shetani! sometimes we come to know that shetani alitudanganya at the moment tumeshafanya dhambi. Men are so sorry for that
 
Unajua mwanamke shetani! sometimes we come to know that shetani alitudanganya at the moment tumeshafanya dhambi. Men are so sorry for that

Kwa hiyo na dini yako inakufunza kuwa mwanamke ni shetani.
Kama ni hivyo anafaa kupigwa mawe na kujiweka mbali nae

Na ikiwa mwanamke ni shetani, naye ni sehemu tu ya mwanamme, basi mwanamme ni shetani kamili
 
Mwanaume mwanaume tu! hata akiwekwa ndani. Hata ukimweka ndani lakini nani mtendwa - Mwanamke. Unakuwa umeolewa....
 
Kwa hiyo na dini yako inakufunza kuwa mwanamke ni shetani.
Kama ni hivyo anafaa kupigwa mawe na kujiweka mbali nae

Dini yangu haisemi kwamba mwanamke shetani.

Ila ukitaka kutambua kwamba mwanamke shetani, tazama matendo.
 
Kwa hiyo na dini yako inakufunza kuwa mwanamke ni shetani.
Kama ni hivyo anafaa kupigwa mawe na kujiweka mbali nae

Na ikiwa mwanamke ni shetani, naye ni sehemu tu ya mwanamme, basi mwanamme ni shetani kamili
Wanawake wameainishwa mata nyingi kama njia ya shetani kupitia wako karibu na shetani kwa ufupi most ya wanawake na shetani ni washikaji long kitambo
Rafiki wa kwanza wa shetani alikuwa mwanamke
 
Dini yangu haisemi kwamba mwanamke shetani.

Ila ukitaka kutambua kwamba mwanamke shetani, tazama matendo.

Kwa hiyo umeamua kuchukua hatua gani baada ya kujua kuwa mwanamke ni shetani?
 
Kwa hiyo umeamua kuchukua hatua gani baada ya kujua kuwa mwanamke ni shetani?
Binafsi i love women hasa hasa wale light skinned tena sana tu hawa viumbe bana acha tu....
 
Binafsi i love women hasa hasa wale light skinned tena sana tu hawa viumbe bana acha tu....

hahha kwa hiyo mkuu licha ya kujua ushetani wao wewe umeamua kuwapenda zaidi eee :]

ubarikiwe
 
Binafsi i love women hasa hasa wale light skinned tena sana tu hawa viumbe bana acha tu....

Unapenda wembamba au wanene?

Halafu ariiifu kuna kimod flani flani naona kinafuatilia sana baadhi ya watu hadi huku....pay attention utakiona tu. Nadhani unakijua pia
 
Hi,
mkuu acha WAENDELEE kupingana na nguvuasili.. ila mwisho wake unakuja .. MFUMO DUME NI HUMAN NATURE ENDELEENI KUJINDANGANYA NA HAKI SAWA .HAKI SAWA NI SIKU YA MWISHO TU ,NA HII NI TU NA KAMA TU SIKU MWISHO ITAKUWEPO VINGINEVYO MSAHAU...
nawasilisha
best regards
 
Unajua mwanamke shetani! sometimes we come to know that shetani alitudanganya at the moment tumeshafanya dhambi. Men are so sorry for that
What do you have against women buddy? bila mwanamke ungezaliwa? kwa hiyo mamayo ni shetani? huitaji ku put anyone down for you to feel superior, and am not a feminist by the way!
 
women watamu sana aisee

Shetani akubariki. have you ever tasted women?

Ila siku zote vitu vya shetani ni vitamu na ndivyo vinavyomuingiza mtu motoni
 
Mungu ubariki mjadala huu ili usilete madhara kwa pande zinazojadiliana. Maana huu mjadala ni hatari kuliko hataule unaohusu suti za waarab
 
Lakini kwa nini dini kama nyingi kama si zote zina mfumo dume? Nimejaribu kufanya kautafiti kadogo na kugundua kwamba viongozi wa juu kabisa katika dini nyingi huwa ni wanaume..

kweli mkuu,

kwa baadhi ya madhehebu ya kikristo mwanamke wanaamini haruhusiwi kusimama kwenye madhabahu kwa nafasi ya kiuchungaji,upadre,uaskofu n.k

waislam vivyo hivyo tena wamefika mbali hujitenga nao wakati wa kuswali
 
Unapenda wembamba au wanene?

Halafu ariiifu kuna kimod flani flani naona kinafuatilia sana baadhi ya watu hadi huku....pay attention utakiona tu. Nadhani unakijua pia
Totozi iwe imejaa jaa mapaja arifu na awe muoga sio unakuwa na shori mjasiri yaani shori wako hata akiona mjusi hashtuki anamkamata na kumtupa nje! ahhh huyo hafai arifu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…