Women Down!

Women Down!

Mungu alimuumba Adamu,wanyama,ndege na vitu vingine ila badae akaona Adamu amepungukiwa ndipo alipomuhurumia na kusema na tumfanyie msaidizi wa kufanana naye hivyo hakuona haja ya kufinyanga udongo ndipo akaamua kuchomoa ubavu mmoja lengo ni huyu mwanamke afanane naye.Kumbuka Adamu alipoamka alishangaa sana na kufurahi kwakuwa alijiona kufanana naye,pia nyoka(shetani) aliona uimara na ushupavu wa huyu unayemwona mdhaifu alimtumia yeye kumshawishi Adamu,kwahiyo unapaswa utambue kuwa MWANAMKE NI JESHI IMARA!
 
Kubeba mimba miezi tisa na kuzaa watoto hiyo ilikuwa ni adhabu kutoka kwa Mungu kwa kile walichokifanya - kuchuma na kula tunda la mti wa katikati. Labda God made mistake kuwafanya hivyo.
After all those are biological roles kama wewe ulivyokuwa na biological roles ambazo yeye hawezi kuzifanya!

Unaongea hapa utasema hujazaliwa na mwanamke.
 
kuna ukweli kwa hili usawa popote penye wawili haiwezekani kilichopo ni haki so coz mwanaume alikuja kabla ya mwanamke kapewa uwezo zaidi wa mambo mengi utambuzi nguvu maamuzi sahihi kujiongoza n.k
 
wanawake kweli wanahitaji msaaada kwa kwa sehemu kubwa udhaifu wao ni mkubwa mno
 
Back
Top Bottom