Hhahhahah aaah wapi, mimi nilijua hii huwezi kuiacha ipite hivihivi.Hahahaha...nililazimika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhahhahah aaah wapi, mimi nilijua hii huwezi kuiacha ipite hivihivi.Hahahaha...nililazimika!
<br />You sound as if you have a grudge against men lol.
Kubeba mimba miezi tisa na kuzaa watoto hiyo ilikuwa ni adhabu kutoka kwa Mungu kwa kile walichokifanya - kuchuma na kula tunda la mti wa katikati. Labda God made mistake kuwafanya hivyo.
After all those are biological roles kama wewe ulivyokuwa na biological roles ambazo yeye hawezi kuzifanya!