Mungu alimuumba Adamu,wanyama,ndege na vitu vingine ila badae akaona Adamu amepungukiwa ndipo alipomuhurumia na kusema na tumfanyie msaidizi wa kufanana naye hivyo hakuona haja ya kufinyanga udongo ndipo akaamua kuchomoa ubavu mmoja lengo ni huyu mwanamke afanane naye.Kumbuka Adamu alipoamka alishangaa sana na kufurahi kwakuwa alijiona kufanana naye,pia nyoka(shetani) aliona uimara na ushupavu wa huyu unayemwona mdhaifu alimtumia yeye kumshawishi Adamu,kwahiyo unapaswa utambue kuwa MWANAMKE NI JESHI IMARA!