Women, God is watching you. Hili ndiyo kosa la kununuwa kweli?

Women, God is watching you. Hili ndiyo kosa la kununuwa kweli?

Aisee kwamba manzi akija ni kutiana tuuuuuuuuuuuuuuu hizo ilikuwa wakati tunabalehe siku hizi manz anaweza kuja geto na huna mzuka ukamchana tu makavu flani bila kumgonga
Tatizo linaanza hapo unaseposema huna mzuka"" unatatizo ambalo litafutie ufumbuzi
 
Ukikua utang'ata meno ukikutana na haya machicha uliyoyaandika
 
😂😂😂😂😂😂 utoto mwingi

Mashangazi hawanaga mda wa kukaa na kupiga story...
Mda ambao mtaongea ni mda wa kula tu au wakati upo nae kwa gari basi.
 
Aisee kwamba manzi akija ni kutiana tuuuuuuuuuuuuuuu hizo ilikuwa wakati tunabalehe siku hizi manz anaweza kuja geto na huna mzuka ukamchana tu makavu flani bila kumgonga
kuwa serious kidogo, hao wanakujaga kwa ajili ya jambo moja tu! sio umeona amekununia
 
Wasalaaaaaam wazeee...

Juzi jumapili nilitembelewa na mpenzii wangu ambaye tuna miezi tatribani minne toka uhusiani wetu ulipoanza.

Sasa tumekaa sitting room kwenye channel flani ikawa inapigwa ili nyimbo ya Abubakar ft joslin ngoma inaitwa samahani dada naomba nikwaguze mpaka kwenye nyumba ile.

Hapo kuna verse ya joslin anakwambia "Kuna time narushaga mawe kwao juu ya bati ili mtoto atoke nimwone yuko vipi"

Nikamwambia mpenzii wangu huyu kuwya enzi hizo ilikuwa mpaka urushe mawe juu ya bati la kina manzi ndiyo atoke muonane.

Mpenzi akadakia kwamba lakini mlikuwa mnarusha mawe juu ya bati Kwa ajili yetu sisi watoto wa kishua tu. Mimi nikamwambia kiutani tu "Ulikuwa mtoto wa kishua au ulukuwa bekitatu kwenye nyumba ya watoto wa kishua!!?"

Sasa manzi kakasirika mpaka leo nikipiga hapikei na mesej haujibu.. Eti kosa liko wapi hapo wakati ni utani tu.

Nimejua huyu alikuwa hanipendi alikuwa ananitafutia sababu tu.
Wee jamaa kavu Sana 😂
 
Back
Top Bottom