Women Only..... Namna ya kumfanya Mume/Partner wako awe na wivu

Women Only.....? kumbe sku hizi mnajiwezesha....bg up keep it on, ndo msimu wenu huuu.....
 
Nilikuwa sijasoma thread yote nimepitapita nilichokiona mhhhhh,,..... siongezei, haifurahishi hata kidogo
 
Kwa kweli mie pia nimeshangaa sana, watu wana attack utadhani kuna tunzo mweeeee, i hope ameelewa mwenyewe , ndio magreat thinker sasa tutafanyeje,pole gaga na ashadii
 
Gaga somo lako zuri,hasa point namba 1 , ila sikubaliani na pointi 4 na 6 kwani badala ya wivu utazua mgogoro mkubwa.
 

You said it boss,yale ya gaga naona kama
yamekaa ki-kufikirika zaidi na sio kidunia hii kabisaaa.
 
...............Nimekusoma ila kwa habari nyepesi nyepesi nilizonazo Rev Masa ndio co coordinator wa church leadership summit Tanzania ambao utafanyika hapa nchini na amepewa fungu la kutosha kufanikisha maandalizi, nadhani huu ndio utakuwa mwisho wake wa kuendesha Ki Nissan March, ndio maana hata JF anaona itamcheleweshewa ngawila.

Kuhusu Generator sikununuwa ili liwe linafanya kazi masaa 12, Generator ni kwa ajili ya dharura ya 1 hour tu 3 hours na isiwe ndio mchezo wa kila siku lakini kwa Bongo sasa imekuwa useless nadhani wenye Biashara ndio zinawafaa hizo Generetor, hayo magari yenyewe tukifika mjini tunayapaki na tunaanza misele kwa mguu ndio sembuse nipate hasara ya mafuta kila siku kwa ajili ya generetor? BIG NO.
 
Tutaandamana!!!!!! This is the abuse of men's rights!

Hahahaha mkuu unanichekesha na kuandamana, mie hii kitu ya wanandoa kurushana roho nimeishuhudia kwa jirani yangu ambae mumewe alipoteza interest sijui ndo tuite waliishiwa ubunifu wa kuendeleza malavidavi mana yale malavidavi kama zamani yalipungua mke akawa ni kupiga simu kila saa na kulia kutwa baada ya kupewa tetesi kuwa mumewe ana kimada na mbaya zaidi yule bwana alimwambia mkewe asitie dawa nywele anapenda kumuona akiwa natural.

Kilichotokea mke akapata mashosti wakamfunda jinsi ya kumrusha roho mume na strategy aliyotumia ni kujifanya ana mitoko isiyokuwa rasmi, akawa anajipamba kweli kweli haswa wikiendi yaani mume kila akirudi anamkuta mkewe as if ndo katoka kwenye mtoko few minutes ago mana anakuta nguo imetundikwa lipstic zimeshamiri usiseme na wigi liko hapo. Mume akashangazwa sana na mabadiliko ya mkewe mana zile simu za ugomvi zikaisha ikawa anapata simu za "nakutakia kazi njema", pia mkewe akawa hakauki saluni na weaving & mawigi.

Jamaa akaanza kibarua cha kumchunguza mkewe anatoka na nani,ilimtesa sana mwishowe akaona bora aanzishe ratiba ya kumtoa out mkewe ili amkomoe mwizi wake kwa kuwa benet na mkewe , na kumbe hakukuwa na mwizi wala nini...jamaa akarudishwa kwenye reli kwa staili hiyo.
 
Are u serious? mpaka umri huo unapanga foleni kwenye vicafe? nione nikupatie latop utanilipa kwa instalment 4.

Mkuu spelling ya laptop umeikosea hiyo

Mi ntamsaidia down payment ya asilimia 10...
hehehe Rais wa wabeba maboksi kwa mikwala bana!

Ana wengi huyo, kumuonea wivu huyo ni sawa kuwonea wvu king mswati kazi bure, lazima mwaka ufatao aoe tu
Dinnah unamsingizia mtakatifu! Muumba anaweza akakasirika ukajikuta umesahau password yako ya JF gafla

aaaaah klorokwini, ok ngoja nianze kukuonea wivu mpaka ukome
Hakyababu hautojutia.

Are u serious? mpaka leo hii bado unategemea umeme wa Ngeleja? nione nikupatie genereta utanilipa kwa instalment 4.

Halaf wewe! sawa bana! acha tusmwage rice kwenye chicken.
 
Naona umejisahau kama upo jukwaa gani, muone Lizzy hapo Garden akufungulie geti utoke uende kule jukwaa la lugha. Nyani Ngabu amejitolea kuchangia 10 percent wewe wampa cheo cha Rais wa wabeba box!, kwahiyo Mzee Mwanakijiji ndio Waziri mkuu wa Wabeba Box?
 
umesha chelewa...
Nekst time tuwekee na deadline bana!


Job calling: you have been warned. Halaf huyu Lizzy amekuwa mod nini sku hizi?
 
nai hifadhi hii post for future use
 

Hivi we unafanya kazi JamiiLiki?!Hizo ishu za Rev sio kwaajili ya kila mtu kujua!!
Mmmh sasa kama umeshajua jenereta lenyewe limekua mzigo badala ya kupunguza unalifanyaje?!Unaendelea kulibeba?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…