Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />Tatizo kumpata fundi bomba hubby aone wivu kazi kweli... labda umchukue mtu apose kama fundi bomba...lol.... <br />
<br />
Alafu hio ya zawadi hio...sio woote wata mind.. wanaume wengi kweli hawajui umuhimu wa zawadi kwa wake zao... Wa aina hio hata akute umepata zawadi wala hata hashtuki... anaona kawaida.. Ila bana umpate wa zawadi na anakupaga, akute umepewa zawadi! Patakua padogo hasa kama hio Valentine yeye kanunua ya kizushi alafu aone hio ya maana...
Are u serious? mpaka umri huo unapanga foleni kwenye vicafe? nione nikupatie laptop utanilipa kwa instalment 4.Dah! hela ya cafe imeisha , nalog out wakuu!
Are u serious? mpaka umri huo unapanga foleni kwenye vicafe? nione nikupatie laptop utanilipa kwa instalment 4.
Sh ngapi mie pia nipo cafeAre u serious? mpaka umri huo unapanga foleni kwenye vicafe? nione nikupatie laptop utanilipa kwa instalment 4.
Ana wengi huyo, kumuonea wivu huyo ni sawa kuwonea wvu king mswati kazi bure, lazima mwaka ufatao aoe tuaaaaah klorokwini, ok ngoja nianze kukuonea wivu mpaka ukome
Laki 6 used UK, kwa Bongo waweza kusema ni mpya LCD screen na specification nyingine nitampatia anaehitaji.Sh ngapi mie pia nipo cafe
Sikumbuki kwani magazeti yote unayajua?na nchi zakeBlackBerry
Gazeti la True Love ndio lipi? Linatoka nchi gani?
Nimekuelewa ahsante kwa maelekezoGaga ni mpole... hivo hata techniques zake za attack ni hafifu... Gaijin ni attacker (tena kiintelligensia) hivo ana technique zoote za attacking... Sina maana kua yey ni bora kuliko Gaga... ila nina maana yeye (Gaijini ) ni bora kuliko Gaga katika sector hio ya Ubishani... naona nimekua misinterpreted... mbona hio iko wazi... Au ndo ile niseme tu kuonekana na ponda moja kwa moja?? Sababu tu niko upande wa Gaga na siku zoote iko hivo...
Huu ndio uzuri wa JF. anione haraka while stock is last, akichelewa mpaka nitakapokwenda UK mwezi wa 11 ndio nitakuja na mzigo mkubwa. unajuwa watoto wa vyuo sasa hivi wananunuwa sana, na naishukuru facebook inanisaidia kuniongezea oder za hawa mateneeger. maana wao na facebook huwaambii kitu.Mi ntamsaidia down payment ya asilimia 10...
... Wakati nasubiria nitaifanyia kazi namba mbili... Hio ya kuiacha wazi aione.. Hawa wanaume wetu wa Kiafrica bana hata hata notice - ananotice tu ukiivaa ... Chakufanya nachelewa kuanda chakula siku hio ili kids wawahi kulala, then ninatupia a sexy but a bit conservative lacy lingerie ....
Unaweza kuzigeuza zote kwa kiwango cha lifestyle yako, hata kama huna pesa ya salon nywele unakata na wembe,au unasuka twende kilioni, hizo lingerie ndio kanga kama unavosema, au biti unakuwa na marafiki zako mnaenda baa pia si kawaida sana?Hapo kwenye bold, AshaDii na Gaga wacheni fixi zenu za sexy lingerie, hayo ya kizungu mabibie. Vaa kanga yako moja ya kichina (zile laini na transparent ....... ndembendembe), imefukizwa udi kidogo, chumba umepanga vizuri ..... uone kama kama huyo mume ataondoka huko chumbani.
Ngeleja tayari ameshachukuwa megawats zake, nitarudi baadae maana betri yangu iko down.
he! Mrembo upo! sielewi kwa nini wewe na mchungaji Masa wote mmehadimika kwa mpigo, something behind the screen? by the way Generator ninalo ila nimelifungia store naona linaniongezea gharama za maisha, nimefunga Inventor za Rex investment lakini sasa ni kama wiki mbili ina matatizo nawasubili mafundi wao.Are u serious? mpaka leo hii bado unategemea umeme wa Ngeleja? nione nikupatie genereta utanilipa kwa instalment 4.
he! Mrembo upo! sielewi kwa nini wewe na mchungaji Masa wote mmehadimika kwa mpigo, something behind the screen? by the way Generator ninalo ila nimelifungia store naona linaniongezea gharama za maisha, nimefunga Inventor za Rex investment lakini sasa ni kama wiki mbili ina matatizo nawasubili mafundi wao.
Nadhamani umenisoma,..... na nimekumiso sana.