Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

1. Hakikisha unakuwa na good look

Tumia kioo chako kujiangalia ukoje , usijiache muda wote uko rafu, new haircut itasaidia pia kukuonyesha upo tofauti na jana, si mnajua wanaume wanapenda upya wa mambo kila siku? basi tumia kioo chako kujifanya mupya kila siku.huwezi kumfanya mume awe na wivu kama unajiacha na kuwa kama golila kila siku,add some hair colour, look young, clean and healthy kila siku.

2.Fanya shopping kidogo

Save pesa kidogo hata kama ulitaka kumnunulia kitu, hairisha, nenda kanunue lingerie and get something strappy kiasi, colour zisiwe kali sana, ila zile zenye mvuto kwa rangi mnazozipenda, ukifika home, fungua kiduchu hata lesi tu ionekane iache,usimwambie na usivae kabisa, hii itamfanya awe na shauku kwa nini ununue kitu ambacho hujaplan kukivaa hivi karibuni?

3. Nenda out...girls day out

Epuka kukaa ndani tu kila saa upo kwenye simu, ukwapi, na nani, unafanya nini, kuwa huru,kuwa na hobby to keep you occupied,tafuta marafiki ambao sio common kwake, weka plans for the evening na hao marafiki zako.unataka ajue kwamba wewe ni mwanamke wa 21 century.if he doesnt have time for you, your not sitting down waiting for him to come around forever.

4.Jiunge na gym

Hakikisha ni ya Unisex, ujifanye unaelezea names za member wa gym na how wanajitahidi na mazoezi, na pia huwa wanakusaidia mazoezi mengine coz wewe ni new member, usisahau kuelezea six pacs zao kwa chati.

5. Zawadi zenye maswali

Hakikisha umejipanga na marafiki zako kwenye sikukuu kama valentine kuleteana zawadi, hasa red roses ambazo hazina note yeyote, ikifika jifanye kumuuliza kama ni yeye kaleta, pika cakula vaa vizuri mle chakula, utashangaa anakwambia chakula ni kizuri hata kama ni maharage ya chumvi na ugai wenye mabuja

6.Mtumie jirani yako

kama una jirani kijana mwenye mvuto ambaye huwa anafix au kuzibua mabomba au chochote ambacho anaweza kukusaidia mwite mwombe msaada na uhakikishe wakati anarudi anamkuta anamalizia kazi yake.then mpe ahsante mkaribishe siku ingine

7.Muhakikishie Upendo na uimara wa penzi lenu

Kama unampenda kwa ukweli mwanaume wako huna haja ya kumuumiza kabisa,tunataka tu kuwaweka kwenye right drection, wakati mwingine maongezi yanasaidia, ongea nae mwambie yeye ni mapenzi wa maisha yako na hakuna kitu kinachoweza kuwa between you two,wanaume pia wanapenda kuona kwamba wanahitajika na wake zao, kama wewe uko emotionally strong,sexy, entertaining,loving woman lazima tu atataka kuwa around you muda wote

Tushee mawazo wapenzi
Mtogole mpaka tunakwenda hewani ni kwamba kuna mheshimiwa mmoja (jina la chama tunalo) amekutwa kaacha kazi zake anaangalia kuku wanasex......... (chanzo chetu kimeomba jina lake lisichapishwe)Tutapitwaje na habari motomoto Kama hizo unazozirusha Klorokwin!
Tujuze ya Mtogile
Atakuwa ni Hashycool huyo au Uporoto si wametoka kwa dhamana juzi hawaMtogole mpaka tunakwenda hewani ni kwamba kuna mheshimiwa mmoja (jina la chama tunalo) amekutwa kaacha kazi zake anaangalia kuku wanasex......... (chanzo chetu kimeomba jina lake lisichapishwe)
What it do Gaga???Poa nashukuru kwa ushauri jidu
Mtogole mpaka tunakwenda hewani ni kwamba kuna mheshimiwa mmoja (jina la chama tunalo) amekutwa kaacha kazi zake anaangalia kuku wanasex......... (chanzo chetu kimeomba jina lake lisichapishwe)

Hapa siruhusiwi nakusubiri nje una kesi ya kujibu.
Poa nashukuru kwa ushauri jidu
heheeh Ankal hao jamaa kesi yao ni nzito, nazani nilikutonya last time, walikuwa wanafanya magendo ya vitabu vitakatifu. Wanahitaji loya wa maiko jakson ndio washinde kesi.Atakuwa ni Hashycool huyo au Uporoto si wametoka kwa dhamana juzi hawa

kesi gani tena baba watoto,? Utanikosesha raha!lol
Huu wimbo kaimba nani?

kesi gani tena baba watoto,? Utanikosesha raha!lol
Hiyo bomba sana maana tunakutana tunapeana michapo ya mwezi mzima vitu ulivovi miss mtaani, hakuna raha kama kwenda out na rafiki zako then unjua kabisa ukirudi hme mzee anakusubiria, kuolewa raha sanaGaga unaonaje tukiifanyia kazi hio ya 3?? Nimetoka kwenye mfungo hivo kulikua hamna kabisa outings...lol
Ankal kweli banaa hebu mwambie huyu Husninyo asijihusishe na Uporoto kabisa maana jamaa bado ni mtuhumiwaheheeh Ankal hao jamaa kesi yao ni nzito, nazani nilikutonya last time, walikuwa wanafanya magendo ya vitabu vitakatifu. Wanahitaji loya wa maiko jakson ndio washinde kesi.
Hiyo bomba sana maana tunakutana tunapeana michapo ya mwezi mzima vitu ulivovi miss mtaani, hakuna raha kama kwenda out na rafiki zako then unjua kabisa ukirudi hme mzee anakusubiria, kuolewa raha sana
If you happen to have a chance tafuta movie inaitwa JUMPING THE BROOM you'll like it mwambie na Ashadii aitafute ASAPPoa tu the finest yaani mambo muswano
Ankal kweli banaa hebu mwambie huyu Husninyo asijihusishe na Uporoto kabisa maana jamaa bado ni mtuhumiwa
Hahaha!!! Husny banaaa hafai kabisa wewe muulize Klorokwin alitufanya nini siku ya IddMie huwa nawashangaa kwanini mwawaingilia saana... Husny ujanja wake woote kwa Upototo hanaga ujanja... Dont you want her to be happy?? lol
Ankal usishtuke, Husninyo anampotezea muda tu Uporoto! moyo wa Husninyo wote uko kwangu, majuzi tu alitaka kujiuwa kwasababu aliskia nimemPM Lizzy, wasamaria wema wakawahi eneo la tukio na sasa anaendelea vyema na dripu. Nimemuwekea sapraiz akipona, nimenunulia ka hendbag unafungua zipu kwa remote. Ana bahati kweli kupendwa na mimi.Ankal kweli banaa hebu mwambie huyu Husninyo asijihusishe na Uporoto kabisa maana jamaa bado ni mtuhumiwa