Women Only..... Namna ya kumfanya Mume/Partner wako awe na wivu

Ahsante kwa hizi tips, wakati mwingine ni vizuri kutingisha kidogo, sasa hawa wengine mbona wanamshambulia mtoa mada baada ya kuchangia mada? basi kamshaurini mshikachuma namna ya kupata pesa kwa jimama lake sababu ndio haki yake, wengine hizi point huwa tunazitumia ipasavyo
 
Haaaa bora kutamka na kubadilika au kukaa kimya nionekane mtu mzuri, any way nimesahau kwamba ww ni she mwenye ID ya he, na sio kila unachosoma ukichukue mpendwa

Mimi ni she? If people's hallucinations were to turn into my reality I would have been a lot of things already. Too bad for them that ain't the case. But thanx for the cheap shot.
 
Thanks for the useful post gaga, nina imani itasaidia kwa wengine na wengine kwao sio useful, nachojua kila mtu ana mtu wake na lifestyle yao kwa hiyo anachukua kinachomhusu, NN kila mtu ana haki ya kuwa na second chance being a cheate haimfanyi muhusika kutokuwa na mawazo ya busara, wengine huwa tunamchukulia gaga kama mfano wa kuigwa sababu ametoa mengi yanayomuhusu na kuwapa wengine mwangaza wa kupambana nayo yakiwakuta,kama wewe hupendi michango yake just keep for yourself na wala usitulazimishe sie kumkubali au kutomkubali gaga
 


hiyo namba 6 usishangae mzozo wake mpaka kwa wazazi!!!!!
 

Mimi wala sijamlazimisha mtu kumkubali au kutokumkubali. Na nilikuwa sijui kuwa yeye "ananifahamu na kunijua". Ila sijui "kanifahamu na kunijulia" wapi.

Lakini yote mema tu. Kila mtu ana haki na uhuru wa kutoa maoni yake, kusoma na kuamini kile asomacho, kusoma na kukitolea maoni kile akisomacho, na mengineyo yaliyo ndani ya sheria za JF.
 
Mimi ni she? If people's hallucinations were to turn into my reality I would have been a lot of things already. Too bad for them that ain't the case. But thanx for the cheap shot.
Thanx for the expensive shot of yours....cause your alwayz perfect nzagamba
 
Kwa maneno mengine... Mwanamkea akiwa na qualities zote ulizo mention ndio mwanaume ataona wivu?
Nadhani sababu kubwa za mwanaume kuwa nawivu nishakujibu, ila kama unaulizia zile sifa 6 nilizozisema mwanzoni zile zinazidisha upendo kutoka kwa mwanamke, kuna rafiki ameshawahi kunitamkia mke wake akianza kufa kabla yake yeye hawezi kuoa tena, u can imagine huyu mtu anampenda mke wake kiasi gani? na huyu ni mmoja kati ya Rafiki zangu wachache wenye mkwanja na hajawai kutoka nje ya ndoa yake I can bet on that.

Najuwa wapo watakaohoji unaojuwaje, jibu ni matendo tu. Unajuwa kama mwanaumehajaathiriwa na malezi ya utotoni na mwanamke ukiwa mjanja hakuna mtu mjinga kama mwanaume huu ndio ukweli mnaopaswa kuufahamu.
Kumdhibiti mwanaume ni kazi ndogo sana lakini nashangaa sijui ni kwa nini wanawake wamekosa maono haya.
 

I wish you all the best! ila umesahau kitu kimoja tu, kuwaombea WAUME/WAKE zenu kuwa WAAMINIFU TU. Hayo yote uliyosema kuna watu wanayo yote lakini wenza wao never been Trustful.

Kwatukeni lakini kikubwa ni UAMINIFU.
 
Thanx for the expensive shot of yours....cause your alwayz perfect nzagamba

You are most welcome.

By the way, I thought you knew I was a female pretending to be a "he". So how come you refer me as Nzagamba? Or you don't know what that means?
 


Hii post I understand every single word... And I understand with all my heart.....
 
Points ni nzuri, lakini nyingi hazifanyi kazi katika mazingira yetu ya kibongobongo. Hazikuzingatia uhalisia wa kujua mwanaume anapenda nini kutoka kwa mwanamke.
Anyway, ndo kupanuana kimawazo huko.
 
Bwahahahahaaa....nyie wadada msichuzwe na Gaga. Kwanza huyu si keshawahi kutamka wazi hapa kuwa alimchiti mwenzake? Take it from me, her advice is not worthwhile.
nafikiri dinnah alimaanisha hapa uliposema nisiwachuuze watu, hivi kwani vitu vyote vinavyoandikwa humu mtu anatakiwa kuvifanyia kazi?na ukamalizia, wa take it from you as if unanijua na mwanza tumetoka kijiji kimoja, ok my advice may not worthwhile sababu nilicheat but nahisi nina sense of hmn ambayo still ipo inside me
 
Gaga,

Hakuna He bila She na vice versa....Kama nimewakosea naomba msamaha mapema kabisaaaa!!!!

Hayo mambo unayoyasema naomba muyaache kwenye nadharia tu! Vitu vingine ni hatari sana kuvijaribu tena kwa mwanamume, mume wako wa ndoa...ndoa halali na si ndoa ya mkeka!!!

Hii dossier naona ni toxic kwa baadhi ya mambo (4-6) na mendine hayatakelezeki kwa wanawake walio wengi na ukizingatia ugumu wa maisha unaowakabili Watanzania!!
 

Mimi sijajidai kukujua kama wewe ulivyodai kuhusu mimi. Lakini hakuna matata.
 
You are most welcome.

By the way, I thought you knew I was a female pretending to be a "he". So how come you refer me as Nzagamba? Or you don't know what that means?
That name will makes you feel better, na nilipenda ujisikie hivyo
 
Mimi sijajidai kukujua kama wewe ulivyodai kuhusu mimi. Lakini hakuna matata.
Na wewe unawezaje comment kwamba mtu aliye cheat hawezi kuwa na maoni yoyote mazuri, kuna wahubiri wakubwa duniani walikuwa majambazi, wauwaji na leo wanahubiri neno na watu wanaokoka na kuwakubali sana, hapo ndio naweza kujaji ufahamu wako kwenye mambo mengine
 
Sorry 4 interrupting but very interesting!
Sasa mimi naondoka saa 12:30 am narudi saa 21:00 hadi 00:30am kwa sababu za kikazi, je hayo utaweza kunifanyia?
 


Jamani naona this thread has turned on Serious na niliona iko very safe!

Genuinely speaking hio umechotwa zaidi ki magharibi.. kwa most ambao maisha ni ya Kiswahili ni machache ambayo mtu anaweza dhubutu fanya hapo... Bahati nzuri saana Gaga katoa na option 'last phrase' ya ku share mawazo.... Hivo DC Uloongea katika hii post yako naunga mkono...
 
Mwanamke atakuwaje nzagamba?
Nimekwambia nilitaka ujisikie vizuri , siko mbaya kivile moyoni naeza jisikia vibaya baada ya kusema neno fulani juu ya mtu ambalo najua limtamkwaza, najua neno she limekukwaza kama mie ulivonikwanza nimegundua ndio maana nimekuita nzagamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…