Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The whole concept is void. Huwezi kuwa mwanamke wa 21 century lakini uka-go out of your way to please or make a man jealous
21 century woman live for herself and do not get in an act for a man
Hizo ni tips tu, na ni kweli imekaa kimagharibi ,ila navojua dunia inabadilika kwa haraka sana kwa hiyo unaweza ambulia mbili tatu,au ushindwe kabisa kufanya hayoGaga,
Hakuna He bila She na vice versa....Kama nimewakosea naomba msamaha mapema kabisaaaa!!!!
Hayo mambo unayoyasema naomba muyaache kwenye nadharia tu! Vitu vingine ni hatari sana kuvijaribu tena kwa mwanamume, mume wako wa ndoa...ndoa halali na si ndoa ya mkeka!!!
Hii dossier naona ni toxic kwa baadhi ya mambo (4-6) na mendine hayatakelezeki kwa wanawake walio wengi na ukizingatia ugumu wa maisha unaowakabili Watanzania!!
Haaa sijakasirika hata kidogo we jimwae tu, ila siwezi kuta watu wanachangia miziki ya kiwestern ukachangia nikakwambia unajua lini hii miziki wewe ni taarab tu, na kusema mchango wako not worthwhile hii na wewe utaipenda? wakati dunia ni pana na tunajifunzaTuzowee watu kupinga mawazo yetu. Hakuna haja ya kukasirika kwa comment yoyote utakayopewa
Jamani naona this thread has turned on Serious na niliona iko very safe!
Genuinely speaking hio umechotwa zaidi ki magharibi.. kwa most ambao maisha ni ya Kiswahili ni machache ambayo mtu anaweza dhubutu fanya hapo... Bahati nzuri saana Gaga katoa na option 'last phrase' ya ku share mawazo.... Hivo DC Uloongea katika hii post yako naunga mkono...
Nimekwambia nilitaka ujisikie vizuri , siko mbaya kivile moyoni naeza jisikia vibaya baada ya kusema neno fulani juu ya mtu ambalo najua limtamkwaza, najua neno she limekukwaza kama mie ulivonikwanza nimegundua ndio maana nimekuita nzagamba
Haaa sijakasirika hata kidogo we jimwae tu, ila siwezi kuta watu wanachangia miziki ya kiwestern ukachangia nikakwambia unajua lini hii miziki wewe ni taarab tu, na kusema mchango wako not worthwhile hii na wewe utaipenda? wakati dunia ni pana na tunajifunza
Maadam umezamia party si vibaya kunywa hata soda na kutoa mawili matatu
ADii,
Ndo hayo mawazo hata sie tumetoa.
Nasikitika sana kwamba mara nyingi katika mijadala na maongezi yetu tunawasahau mama/dada wanaopigika......Hao wako dunia tofauti na nyie.
Labda ila bado naamini ushauri wa Gai ni mzuri saaana.....
Pamoja na kwamba mimi ni muumini wa usanii katika mapenzi ila kuna mambo mengine hayahitaji majaribio ya kisanii...Mambo hayo ni pamoja na ku-test feelings za wenzetu!!
Hapa naongelea wanaume ...tena wale wa pre-dot com!
Poa the worst strategy kwa mwingine inaweza kuwa the best kwa others in one way or onotherKwangu mimi wivu ni kero; na natafuta njia ya kupunguza wivu wa hubby si kuongeza.
Mfano kwa sasa niko mbali naweza mtaharifu nimealikwa kwenye bible fellowship na family fulani ananambia usiende. Mimi sipendi kuwa over controlled; na si mara zote nakubali amri though nina limit uhuru wangu mfano japo niko mbali siendi disco wala kwenye sherehe kwa kuwa najua itamsumbua sana hubby akilini.
Wivu ukizidi ndio inafika siku unapata official trip abroad jamaa anakwambia hakuna kwenda kisa unaenda na boss wa kiume. Inahu! Napenda sana kuaminiwa na kujua kuwa bado nina mvuto kwa jamaa that's all. Na sidhani kama ni busara ku pretend kuwa na affair au kuwa attracted to other man ili ku mkeep your man. It is the worst strategy.
Busness partner nje ya mipaka kaiba mtaji, salam zake cancelled!Hahaha Klorokwin!
Mie nipo S'taki Shari bwana! Lol
Na umesahau kuirusha Salam moja nje ya mipaka ya nchi