1. Hakikisha unakuwa na good look
Tumia kioo chako kujiangalia ukoje , usijiache muda wote uko rafu, new haircut itasaidia pia kukuonyesha upo tofauti na jana, si mnajua wanaume wanapenda upya wa mambo kila siku? basi tumia kioo chako kujifanya mupya kila siku.huwezi kumfanya mume awe na wivu kama unajiacha na kuwa kama golila kila siku,add some hair colour, look young, clean and healthy kila siku.
7.Muhakikishie Upendo na uimara wa penzi lenu
Kama unampenda kwa ukweli mwanaume wako huna haja ya kumuumiza kabisa,tunataka tu kuwaweka kwenye right drection, wakati mwingine maongezi yanasaidia, ongea nae mwambie yeye ni mapenzi wa maisha yako na hakuna kitu kinachoweza kuwa between you two,wanaume pia wanapenda kuona kwamba wanahitajika na wake zao, kama wewe uko emotionally strong,sexy, entertaining,loving woman lazima tu atataka kuwa around you muda wote
Tushee mawazo wapenzi