Women!!!

Women!!!

Lizzy sometime inaboa bana kuchunguzana maana nikianza kukuuliza maswali mengi utaaanza kuniambia mbona unanichunguza sana
Ila it is better to have aclear picture ya mtu ambaye unaenda kukaa nae sehem au kumvua nguo usije ingia ukakutana na mtu ameweka kisu kiunoni

Sio interview hii useme kila mmoja anakuja na kinotebook kimejaa maswali bali mnajenga urafiki ambao utazaa kufahamiana vizuri.

Nna marafiki zangu wa kiume ambae nawafahamu vizuri sana..kama wamewahi kucheat...kama wana watoto...kama wapo na wazazi wenzao au la...kama sio kwanini....kama wamewahi kuoa....wanywaji au wanatumia sigara/bangi....ukaribu na familia zao...yote haya sio kwasababu niliwakalisha chini na kuwauliza ila kwasababu tumejenga ukaribu kiasi cha kuwa tayari kumegeana sehemu kubwaya maish yetu.Na mimi hua nawaambia ukweli hata kama ni mchachu sababu siwi na mawazo ya ANANITAKA ili nijipake sukari asikimbie.Matokeo yake tunafahamiana vizuri hivyo hata siku akinitaka/nikamkubalia kila mmoja atakua anajua mwenzake ni mtu wa aina gani.

Huyu Lizzy ni noma aise.

Ila bado sikubali. Lazima mwanamke useme marital status yako unapotongozwa. or you should always wear you wedding ring if it not heavy

Mkuu usitegemee kila kitu kuambiwa
fanya utafiti wako mwenyewe
Wewe inaelekea utakuja kuuziwa mbuzi kwenye gunia

Ni wiki Kadhaa Tangu mpenzi wangu anipige Kibuti katika mazingira ya kutatanisha.

I just met another woman whoa I have been dating for the last two weeks now.

Nimekuwa nawasiliana nae mara nyingi mida ya Mchana Lakini usiku huwa simu yake Imezimwa.

Am now getting the feeling that I love her, and I gues she loves me to.

Jana jioni tukiwa tumekaa in one of those places tunakoenda kujipumzisha mida ya Jioni, nikaamu kumdadasi sababu ya kuzima simu usiku.

Gues what!!! She told me she is Married though his husband Travels on regular Basis.

Jamani niliishiwa Nguvu.

Hivi hapa nani mwenye makosa?

Hivi mwanamke unapotongozwa, kama umeolewa unatakiwa umwambie mwanaume, Au unasubiri mpaka akuulize?

Sababu unamuongelea mwanamke itakuwa HER husband.

Kama mme wa mtu na mtu huyo ni mwanamke ndio HIS wife

Ondoka haraka sana anazima simu akiwa na mumewe.

Sio interview hii useme kila mmoja anakuja na kinotebook kimejaa maswali bali mnajenga urafiki ambao utazaa kufahamiana vizuri.

Nna marafiki zangu wa kiume ambae nawafahamu vizuri sana..kama wamewahi kucheat...kama wana watoto...kama wapo na wazazi wenzao au la...kama sio kwanini....kama wamewahi kuoa....wanywaji au wanatumia sigara/bangi....ukaribu na familia zao...yote haya sio kwasababu niliwakalisha chini na kuwauliza ila kwasababu tumejenga ukaribu kiasi cha kuwa tayari kumegeana sehemu kubwaya maish yetu.Na mimi hua nawaambia ukweli hata kama ni mchachu sababu siwi na mawazo ya ANANITAKA ili nijipake sukari asikimbie.Matokeo yake tunafahamiana vizuri hivyo hata siku akinitaka/nikamkubalia kila mmoja atakua anajua mwenzake ni mtu wa aina gani.

True sio unakaa kiwizi wizi tuu kila time
Yaani ukitaka kufanya mambo yako mpaka uangalie kulia na kushoto kama unaonekana

Huyu Lizzy ni noma aise.

Ila bado sikubali. Lazima mwanamke useme marital status yako unapotongozwa. or you should always wear you wedding ring if it not heavy

Huwezi kumlazimisha kwasababu hujui nia ya yeye kutokuivaa.Kwahiyo wewe acha kudandia daladala yoyote inayoondoka posta maana sio zote zinaenda Mwenge.

Kwa namna yyt huyu dada alipaswa kumweleza hy kijana kuwa yy ni mke wa m2 (kama nia yake ni nzuri)

Mwambie na mimi pia nammiss...and he owes me an apology...

Oh yeah..I know he does. He told me about the whole thing and he said he snapped. But he assured me he'll reach out and make it up to you.

Oh yeah..I know he does. He told me about the whole thing and he said he snapped. But he assured me he'll reach out and make it up to you.

I‘m glad that he knows he did loose his cool for a minute.

Tell him I can‘t wait to see what‘s in the apology package.

I‘m glad that he knows he did loose his cool for a minute.

Tell him I can‘t wait to see what‘s in the apology package.

Mhhhh
Kevin & Lizzy mhhhhh.......????

Pumzika kwanza madhali ushapigwa kibuti mwanzo jipe mda usitake bandika bandua matokeo yake unakutana na jamvi lawageni...

Back
Top Bottom