Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ombi langu kwa wanawake muwe proactive msisubiri mpaka tarehe 8 MachiNimeshangazwa na jinsi siku ya Wanawake inavyosherehekewa hapa Tanzania. Taasisi kadhaa hata zile za kisomi ni kuuza Vitenge na kuvaa kwa Mishono tofauti. Hakunaga lingine? Mbona wenzenu jirani wana mengi wanafanya na kuonekana?
Leo wadangaji ndiyo watakuwa wanatambaHakunaga wanaharakati?
Mmmh[emoji848]Leo wadangaji ndiyo watakuwa wanatamba
Masuper womann
Ova
Angalia Clouds Malkia wa umma. Mtu unajua kabisa huyu full kudanga lakini anadai analima mihogo nchi nzima na ku-export MarekaniLeo wadangaji ndiyo watakuwa wanatamba
Masuper womann
Ova
Unajuaje kama anadanga? Tanzania kwa kukatishana tamaa tu, sio kila mwanamke ni mdangaji.Angalia Klauz na Malkia wa umma. Mtu unajua kabisa huyu full kudanga lakini anadai analima mihogo nchi nzima
Nawajua watatu walikua na interview Clouds last weekUnajuaje kama anadanga? Tanzania kwa kukatishana tamaa tu, sio kila mwanamke ni mdangaji.
Hongera sana JembeNawajua watatu walikua na interview Clouds week
HahahahahaAngalia Klauz na Malkia wa umma. Mtu unajua kabisa huyu full kudanga lakini anadai analima mihogo nchi nzima na ku-export Marekani
Ohooooo!!!Leo wadangaji ndiyo watakuwa wanatamba
Masuper womann
Ova